Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kamtendea haki,wengi tulikua hatumfahamu kiundaniWengi tulikuwepo pale TAZARA leo katika ufunguzi wa Flyover, daraja lilopewa jina la Eng Patrick Kipilimba Mfugale.
Pamoja na utani mwingi wa Rais, lakini ametuonyesha upande wa shilingi ambao watendaji wengi wa serikali wanapitia lakini umma hauuoni.
Kati ya sifa alizo mwagiwa Eng Mfugale:
1. Amebuni na kusimamia madaraja mengi nchini
2.Ni mwadilifu na amewahi kusimamishwa kazi kwa kutetea ukweli na akavumilia manyanyaso ya bosi wake. Mwenzake ambaye hakuweza kuvumilia alijipiga risasi.
3. Ni mchapa kazi, alisanifu (draft) daraja la Umoja linalounganisha Tz na Msumbiji ndani ya siku tatu.
(Na bado siku ya ufunguzi daraja hilo wala hakutajwa hadi Waziri wakati huo J Magufuli alipomtaja hadharani kwa marabya kwanza)
4. Akiwa Mkuu wa TANROADS kasimamia ujenzi wa maelfunya kilometa zikiwemo 9,000 kiwango cha lami.
Hapo nilipokuwa nimekaa, wananchi walianza kutikisa vichwa na wengine kujisemea, kuwa kweli Tanzania tuna watu wanafanya kazi kwa moyo.
Kwa upande wa wahandisi namshukuru mh. Magufuli kwa kumuinua Eng Patrick Mfugale na kuitambua fani ya Uhandisi.
Fani ya Uhandisi ikitumika vyema na kwa uadilifu kama alivyo fanya Eng Patrick Mfugale, basi nchi itapata maendelto chanya.
Tatizo linalowakabili nyinyi watumishi wa umma ambao mlikosa uadilifu na weledi katika kutumikia Watanzania ni kwamba mlizoea WIZI na kupiga Dili kwa Kuhujumu Mali ya Umma. Mshahara sio tatizo...kwa sababu kuna watumishi wa umma walioishi kwa weledi na kutumikia Taifa kwa nidhamu mbona wanachapa kazi na kuendesha maisha yao bila matusi, kejeli, chuki, ukanda n.k!Una uhakika kama mimi napata tabu,pumbavu kabisa wewe.
Hujui wanachofanyiwa watumishi wa umma.
Huu mradi ulikuwa wa Jk sijui anazindua nini hajui hata pesa za huu mradi zimetoka wapi . mwambieni huyo kichaa leo hatutaki mipasho
Utapata TABU SANA ewe ngedere mwitu!Huu mradi ulikuwa wa Jk sijui anazindua nini hajui hata pesa za huu mradi zimetoka wapi . mwambieni huyo kichaa leo hatutaki mipasho
Hawezi kuumbuka maana serikali hii imekuwa built on kusema oungo ndio maana mnaleta sheria kandamizi watu wasihoji dataUmeumbuka baada ya taarifa ya mradi kusomwa
Matusi ya nini? Huwezi kujibu bila matusi? Unafanya unacholalamikai. UtatukanwaUtapata TABU SANA ewe ngedere mwitu!
Na lile kwamba alisimamishwa kazi kwa kutetea uadilifu na kukataa kuingizwa katika kuchota mali ya umma, limewagusa wengi.Hakika kamtendea haki,wengi tulikua hatumfahamu kiundani
Muongo mradi huu umeanza mwaka 2008,wamesema wenyewe wewe unakuja na pambio za kwaya.Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
Mkuu story ile inatia simanzi sana,siku zote dunia hii ukiwa muadilifu kuna hatari ya kuishia kupotezwa na manya'ng'auNa lile kwamba alisimamishwa kazi kwa kutetea uadilifu na kukataa kuingizwa katika kuchota mali ya umma, limewagusa wengi.
Mh Magufuli kasema wazi , alipewa deski na kwa muda mrefu akawa anasoma magazeti tu.
Watu wasiojulikana wakiulia hapo kwenye daraja kamera zitafunguliwa kama kawaidaTuache utani camera zilishindwa kubaini watu waliompiga mbunge risasi huko dodoma sembuse kubaini wanaokunya na kukojoa kwenye mitaro,
We are not serious,