PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wamefuatilia gari lake wakamkosa!
Wakamfuata mpaka nyumbani wakamkosa bado Tu hajiongezi kupotea kawasubiri mpaka wamemdaka si upuuzi huu???
Hii Nchi ukinusa wanakusaka Usiwaze mara mbili achana na Kila kitu Potea!!!!
Watekaji walim-blackmail.. Either akubali kutekwa au familia ipotezwe.
 
Mwanasasu katuliza mshono kimyaaa Kama hakumbuki alichokipitisha na wenzie wa kiwanda Cha Khanga pale Dodoma.
Kinamrambaa kama alivowafanyia wenzie.....hata huyu mkuu nae zamu yake itafika tu, ni suala la muda tu
 
Wewe unaweza kujilinda zidi ya serikali?
Unaweza kujificha zidi ya serikali? Alishindwa pole pole ataweza huyo?
Unaweza saana serikali yenyewe hii ya bongo unatafutwa tu na kakikundi. Kuna rules za kujificha mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…