Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Mama kaza buti hawa wahuni hawana maana wanaongozwa na kubwa jinga ((TONDO) aka mzee MBOWE
 

Mama samia,fungu huyu mpuuzi mzee MBOWE aka TONDO
 
Tumepata dikteta wa kwanza mwanamke?
 
siwanajifanya wanajuwa kumpangia mama majukumu ya kufanya sasa ana anza nao waone umuhimu wa kuwa na subira
 
Mama Samia kama ataruhusu huu upuuzi wa Polisi, asahau habari ya kufufua uchumi uliouawa wakati wa utawala wa Magufuli.

Lwbda aamue tu kama alivyofanya mtangulizi wake, yaani kuwa mwongo, kuendesha siasa za kilaghai, kuwadanganya wajinga kuwa uchumi wetu ni mzuri kuliko wakati wowote wakati ukuuaji ulikuwa ukiendelea kushuka.
 
Basi Polisi waende hata kwenye vikao vya arusi. Tatizo watu wengi, hata ile common sense ni zero, uelewa wa sheria hakuna. Hivi unajua kuwa kuna rights of privacy?
 

Uharo mtupu! Nchi haiongozwi kwa woga, hisia, matarajio bali sheria na taratibu! Kama wanavunja sheria wachukuliwe hatua!!

Ninyi mnaojaribu kuongoza nchi kwa dhuluma huwa mnafanya mambo kwa woga!! Kuonesha hili (kama ni kweli), angalia wakuu walivotupiana gunia la misumari - ni kwa sababu wanajua wanachofanya hakipo kisheria wala kitaratibu. Wanatafuta mtu wa kumtupia mzigo - bahati mbaya wamechangua Polisi kwa sababu wana silaha na namna ya kutumia nguvu!! Kama kungekuwa na sheria au taratibu barua ingekuja na majibu kutoka kwa aliyetumiwa kwanza na ikiainisha vifungu vya zuio. Ni nani anaweza kula chakula na kuongea katika dakika 30???

Kwa akili kama yako kweli tunajiuliza kwanini nchi imekwama???? Dhuluma right, left and center!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…