Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

πŸ•ΊπŸ•ΊUtanipa heshima yangu eee ,au nitaichukua kwa nguvu Γ— 2πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba hata Sisi tunaitaka katiba mpya. Tunaitaka sana tu.

Lakini hatuwezi vumilia mumtukane rais wetu, Mheshimiwa rais amesema apewe muda hilo analishughulikia. Nyinyi mnataka afanye mnavyotaka nyinyi?????

Hilo haliwezekani. Mama atafanya vile anavyoona yeye inafaa. Kama mnataka kumlazimisha haya go ahead mlazimisheni.
 
Hakika huyo ni Julius Mtatiro
 
Swadakta.....

Itafika siku hata WALIOKUWA wakipinga misimamo ya Hayati JPM dhidi ya "jamaa hao" wataelewa tu.....

Kule kwa MTOGOLE, UJI WA MWANA na kwa MANJUNJU wanasema "mwana kuliget mwana kulifind" 🀣
Bro wacha nilale mimi.

Nimetoka zangu kulinda nchi nakutana na uzi wa kiduwanzi huu.

Kazi inaendelea kesho in shaa Allah
 
usipoteze muda kujibizana na wajinga watakugharimu buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…