Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Huko unataka mtu aende kufanya nini na wakati hapo alipo mambo yake yanamwendea??Akili za ki Africa bana.Kitu kilichonishangaza ni kua kuna watu wamezaliwa dar na kukua dar ila mwisho wao wa kutembea ni Morogoro na chole. Wengine hadi wanakua watu wazima hawajawahi fika chalinze/moro
kama wazazi wako wako happy kukaa nyumbani sawa, familia zetu hizi wazazi wakikuona unakaa kwao wanaanza kukusimanga na kukunyanyasa, inabidi uhame tu kwa lazimaUnajua bro inategemea unajiwekaje hapo nyumbani.
Ukiwa kijana wa hovyo,dira hauna,direction ya maisha hauna hata mawazo chanya ya kimaisha hauna pia hata kupambana haupambani wazee wakifungua mlango wanaweza ona beberu kalala kitandani kumbe kijana wao Moses.
Ila ukiwa una malengo yako na unayatimiza na pia unai handle familia pale inapohitajika kwa familia zetu hizi waonekana mtu wa umuhimu ni ngumu wao kukuruhusu utoke home.
Mimi mpaka naoa nimeoa niko nyumbani.
Kwakweli acha nitulie🤣🤣Wewe tulia hapo hadi tuje kukutoa na matarumbeta.
🤣🤣🤣Ss jobless unanitoaje?Shida hautaki nije niku toe hapo, uhamie kwetu😄😄🤣
HahahahaAu tuanzishe vijiji vya ujamaa, vijana jobless wote Dar wasombwe wapelekwe mashambani,migodini na maziwani mikoa mbalimbali[emoji16]
Noma sanakama wazazi wako wako happy kukaa nyumbani sawa, familia zetu hizi wazazi wakikuona unakaa kwao wanaanza kukusimanga na kukunyanyasa, inabidi uhame tu kwa lazima
''USHAURI - NAOMBA SERIKALI IONGEZE NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA, NA PIA IONDOE VIKWAZO VINGI KWA WANAOFANYA BIASHARA.''Habari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar wameshakata tamaa ya kujenga makazi yao binafsi, wengi wanategemea cha wazazi eg. Nyumba, Magari n.k
Utafiti wangu pia umegundua kuwa kuna vijana wanaojitegemea lakini maisha yao hayapo vizuri kwani kesho yao imekuwa ngumu kueleweka, na mara nyingi utakuta kijana anaishi kwenye nyumba za kupanga na bado kodi ya pango inamsumbua kulipia.
Vijana hawa wenye umri mkubwa hawana future iliyobora maana kuna uwezekano kwenye uzee wao wakawa wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa makazi yao binafsi.
USHAURI - NAOMBA SERIKALI IONGEZE NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA, NA PIA IONDOE VIKWAZO VINGI KWA WANAOFANYA BIASHARA.
NB. HUU NI UTAFITI WANGU KAMA MJANJA M1, KAMA UTAUPINGA BASI UTAKUWA SAHIHI PIA.
Written by Mjanja M1.
KWAMBA HAKUNA MKOA WENYE VIWANJA BEI RAHISI KAMA DAR UNAIJUA DAR WEWE?Ni mkoa gani wanagawa viwanja bure ndugu? Naku hakikishia hakuna mkoa wenye viwanja Bei rahisi Kama dar
Labda Dar ya Chalinze.KWAMBA HAKUNA MKOA WENYE VIWANJA BEI RAHISI KAMA DAR UNAIJUA DAR WEWE?
Wazazi wame enda kuishi kwa wazazi wao😄😄🤒.🤣🤣🤣Ss jobless unanitoaje?
Au ndo tukaisji Kwa wazazi wako ?
Milion nane ni bei ya kiwanja huku kijijini kwetu,Labda Dar ya Chalinze.
Ila Dar hii kudadadeki viwanja vyamoto.
Huku Kigamboni tu sasa hivi ukitaka kiwanja cha kujenga nyumba sio kibanda andaa kuanzia mil 8.
Dah nyie wa kishua, vipi unaeza nipa hata u house boy kwenu 😄🙄Milion nane ni bei ya kiwanja huku kijijini kwetu,
Hiko kiwanja kina ukubwa gani?Milion nane ni bei ya kiwanja huku kijijini kwetu,
Unnecessary movements....Kitu kilichonishangaza ni kua kuna watu wamezaliwa dar na kukua dar ila mwisho wao wa kutembea ni Morogoro na chole. Wengine hadi wanakua watu wazima hawajawahi fika chalinze/moro
Sio Dar tu ni Tanzania ukiacha kwa wamasai na kule wanakojenga nyumba za tembeHabari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar wameshakata tamaa ya kujenga makazi yao binafsi, wengi wanategemea cha wazazi eg. Nyumba, Magari n.k
Utafiti wangu pia umegundua kuwa kuna vijana wanaojitegemea lakini maisha yao hayapo vizuri kwani kesho yao imekuwa ngumu kueleweka, na mara nyingi utakuta kijana anaishi kwenye nyumba za kupanga na bado kodi ya pango inamsumbua kulipia.
Vijana hawa wenye umri mkubwa hawana future iliyobora maana kuna uwezekano kwenye uzee wao wakawa wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa makazi yao binafsi.
USHAURI - NAOMBA SERIKALI IONGEZE NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA, NA PIA IONDOE VIKWAZO VINGI KWA WANAOFANYA BIASHARA.
NB. HUU NI UTAFITI WANGU KAMA MJANJA M1, KAMA UTAUPINGA BASI UTAKUWA SAHIHI PIA.
Written by Mjanja M1.
Mkuu,Au tuanzishe vijiji vya ujamaa, vijana jobless wote Dar wasombwe wapelekwe mashambani,migodini na maziwani mikoa mbalimbali😁