ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo ilikuwa zamani,hakuna anaetoka Mkoani Kwa Sasa kuja Dar kufanya nini kwanza?Kama ambavyo wengi walitoka mikoa mingine na kuhamia dar, waliziona fursa wakivyokuja dar basi hawa wa dar nao waone namna ya kutafuta fursa kwingine.
Enzi zile Mkoani hakuna Barabara,hakuna umeme,hakuna Maji wala Huduma za Afya ndio tulikuja Dar.
Leo CT Scans ziko Wilayani nije Dar kufanya nini? Umeme uko Kijijini huko,Barabara zipo nk uje Dar utakuwa kichaa maana kila kitu Sasa kinafanyika Mkoani.
Utalima Dar?