johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumchinja kobe kunataka timing!"Kanda Maalum Ya Polisi Dar Es Salaam" inahusika vipi na uhalifu (unaosemekana) wa mkoa mwingine, swala la kosa aliloitiwa Mh Tundu Lissu ni mkoa wa Mara na akatakiwa ku report Kilimanjaro.
Nchi yetu jeshi la polisi limekosa weredi kabisa, viongozi wanakurupuka na kujuamulia tu, hawajui "TERRITORIAL JURISDICTION/MAMLAKA YA KIENEO" yanakwenda vipi na yana nguvu gani.
Acha lissu awanyoishe hawa wenye vyeo vikubwa bila ya kuwa na elimu.