Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Kumchinja kobe kunataka timing!
 
Upinzani.. jaribuni lingine..
Dar na Kilimanjaro!!!!!! Mtajiju..

Magufuli 2020💯
 
Sifikirii kama hiyo ni barua kutoka jeshi la polisi
 
Huyu ndio T.Lissu. akili kubwa.
Navalny alikuwa mpinga rushwa na mtaka taratibu zifuatwe...Lakini baadaye ikaja kugundulika yupo kwenye orodha ya wanaolipwa na " magenge ya wafadhili vurugu ndani ya nchi" ulimwenguni kote!!! Mara kama mbili iligundulika alipokea maagizo kutoka kwenye genge hilo!!! Navalny mwanzoni alionekana shujaa wa wapenda haki na mwenye 'Akili kubwa'. Navalny ni binadamu pia Lissu ni mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…