Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Kwanin unasema hivyo?Unaijua kesho yako wewe?
Siijui kesho yangu Ila naijua kesho ya taifa langu. Narudia.. Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mkuu wabongo hampendi kuusikia ukweli Ila huo ndo ukweli. Tanzania haiwezi ongozwa na mtu type ya Lissu, system haiwezi kuruhusu amekosea sana kuhusisha wazungu kwenye mbio zake, nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa nchi hii hata iweje. Kuna nyaraka zake za hatari zimeshanaswa tayari amekuwa declared threat kwa Jamhuri. Take it from me.
 
Tundu tutamuathibu kwenye sanduku la kura,hataamini atakapopata idadi ya kura za namba ya kiatu.
 
Sasa tukitaka kuacha kuwategemea ndiyo tuwakejeli wakati bado tunahitaji sana misaada yao kwa sasa hivi?Ni sahihi kutukana wakunga ingali uzazi bado upo?
 
Redi
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
Redio hutoa taarifa yoyote as long as inatumiwa na watu, we tumika tu na "machizi".
Wenzako wanadata, baada ya kikao na mabalozi, ripoti zinaenda.
Hakuna mtu ana tabu na ushindi wa mtu, tunataka free and fair election.
Usiibe kura, usitishe watu tuwe free.Busara za mabomu na vitisho, kajitawaze kiongozi.
 
Hujasikia ratiba ya mgombea wako lisu anampandisha visukari tu bado kidogo atamwita lisu kumkabidhi inchi siku nane mapumziko
Mnaongea story za vijiweni kujifurahisha, Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mi nakwambia Mambo serious, nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe pengine inawapa peace of mind.
 
If dem want to win the revoloution
Must win it, wit rasta!
Can't win no other way
Because if you win other way, you go fight again
If rasta win, den no more war
CCM (Babylon) your throne gone down, gone down.
Namshukuru Mungu kwasababu amewakataa.
 
Naunga mkono hoja Lissu nikama Madiba
 
Alishasema hatalipa kisasi kama wanavyofanya maCCM. mpe kura yako ili tuwe na uhuru wa kutosha.
 
Sasa tukitaka kuacha kuwategemea ndiyo tuwakejeli wakati bado tunahitaji sana misaada yao kwa sasa hivi?Ni sahihi kutukana wakunga ingali uzazi upo?
Nani katukana?

Sisi tunamsema huyu kibaraka anaetaka urais ambae wakati wenzake tunapigania kujitoa kwenye makucha yao yeye yuko busy kuturudisha nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…