BAHARIA MSAFIRI
Senior Member
- Feb 17, 2016
- 154
- 356
Tulisema jana .Ameendelea na kazi zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siijui kesho yangu Ila naijua kesho ya taifa langu. Narudia.. Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mkuu wabongo hampendi kuusikia ukweli Ila huo ndo ukweli. Tanzania haiwezi ongozwa na mtu type ya Lissu, system haiwezi kuruhusu amekosea sana kuhusisha wazungu kwenye mbio zake, nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa nchi hii hata iweje. Kuna nyaraka zake za hatari zimeshanaswa tayari amekuwa declared threat kwa Jamhuri. Take it from me.Kwanin unasema hivyo?Unaijua kesho yako wewe?
a bunch of i-d-i-o-t-s!View attachment 1587836
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
View attachment 1587905
Anayoyafanya Jiwe..siwe anayoyafanya Putin.
Kwaivo Umuhimu wa Lissu nchii hii nitofaut na umuhim wa Lissu.
Kumlinganisha Lissu na Navanly niatumizi mabaya ya Akili.
Sasa tukitaka kuacha kuwategemea ndiyo tuwakejeli wakati bado tunahitaji sana misaada yao kwa sasa hivi?Ni sahihi kutukana wakunga ingali uzazi bado upo?Sasa tutaacha lini kuwategemea kama kila tukitaka kujikwamua tuache kuwategemea, kina Lisu wanakuja na kauli kwamba hatuwezi kuishi bila wao mabeberu? Na huyo mtu kumbuka anataka kuwa rais lakini ana akili za nama hiyo,!
Ndio unaona sasa hadi hao beberu wake wamejitokeza hadharani kabisa wanampigania awe rais ili sasa rasmi tusifanye chochote bila wao kuamua!
Nakwambia hivi, oktoba hii Tutampiga yeye Lisu na huyo bebru wake,
Redio hutoa taarifa yoyote as long as inatumiwa na watu, we tumika tu na "machizi".Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
mbona yeye ndiye anayewanyoosha hadi mtu wenu anampigia magoti dadeki!!Huyu Lissu tutamnyoosha tu
Mnaongea story za vijiweni kujifurahisha, Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Mi nakwambia Mambo serious, nyie endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe pengine inawapa peace of mind.Hujasikia ratiba ya mgombea wako lisu anampandisha visukari tu bado kidogo atamwita lisu kumkabidhi inchi siku nane mapumziko
Anamyesa hasa mpaka magufuli ameshindwa kampeni siku nane atakuwa off nimegundua kwa nn polis wanamtinga lisu kwa sababu magu amesulender kampeniWameufyata.
Lissu anamtesa sana Magufuli.
Hivi huoni aibu mwanaume kujipa jina la kike? Au unadhani hatukujui? Hata Biblia imekatazaHuyu Lissu tutamnyoosha tu
Naunga mkono hoja Lissu nikama MadibaWapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Warumi 12:19
Naamini kwa moyo wangu wote kwamba Mungu anaenda kukupa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania. Hakuna aliyejua kuwa Daudi angeweza kumwangusha shujaa Goliathi, ila Mungu alimsaidia Daudi.
Kati ya mambo makubwa aliyofanya Daudi ni kutokulipa kisasi kwa watesi wake. NAKUPA ONYO KALI, Usije kulipa kisasi kwa watesi wako, Jitahidi utakapoingia madarakani umweshimu mzee Magufuli wala usiwaze kumtendea baya lolote. Hata ikiwezekana mwachie ndege moja ili awe anaenda nayo kwenye uwanja wa Chato. Usimnyanyase wala kumtenda vibaya.
Hata hao jesi la polisi usiwafanyie chochote kibaya, kwa ghadhabu, wewe tengeneza mfumo mzuri wa jeshi la polisi la kisasa ambalo halijihusishi na siasa wala ukandamizaji wa raia.
Maendeleo yana chama kwa mujibu wa JPM
Alishasema hatalipa kisasi kama wanavyofanya maCCM. mpe kura yako ili tuwe na uhuru wa kutosha.Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana. Warumi 12:19
Naamini kwa moyo wangu wote kwamba Mungu anaenda kukupa nafasi ya kuongoza nchi yetu ya Tanzania. Hakuna aliyejua kuwa Daudi angeweza kumwangusha shujaa Goliathi, ila Mungu alimsaidia Daudi.
Kati ya mambo makubwa aliyofanya Daudi ni kutokulipa kisasi kwa watesi wake. NAKUPA ONYO KALI, Usije kulipa kisasi kwa watesi wako, Jitahidi utakapoingia madarakani umweshimu mzee Magufuli wala usiwaze kumtendea baya lolote. Hata ikiwezekana mwachie ndege moja ili awe anaenda nayo kwenye uwanja wa Chato. Usimnyanyase wala kumtenda vibaya.
Hata hao jesi la polisi usiwafanyie chochote kibaya, kwa ghadhabu, wewe tengeneza mfumo mzuri wa jeshi la polisi la kisasa ambalo halijihusishi na siasa wala ukandamizaji wa raia.
Maendeleo yana chama kwa mujibu wa JPM
Kumbe ana off 8!!!Anamyesa hasa mpaka magufuli ameshindwa kampeni siku nane atakuwa off nimegundua kwa nn polis wanamtinga lisu kwa sababu magu amesulender kampeni
Hahahahaha hutaki kuamini Lissu kawazidi ujanja polisi? Hadi unatia hurumaSifikirii kama hiyo ni barua kutoka jeshi la polisi
Nani katukana?Sasa tukitaka kuacha kuwategemea ndiyo tuwakejeli wakati bado tunahitaji sana misaada yao kwa sasa hivi?Ni sahihi kutukana wakunga ingali uzazi upo?