stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Bila hata ya kusitisha jamaa alishasema hataenda na hamtamfanya kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanj mambo sasa yy anafanya kazi wizara ya fedha hata iwe fekiIsije ikawa ni fake. Maana amri katoa Sirro usitishaji atamke Mambosasa. Hii imekaaje?
Itakuwa ni fake
Mkuu huwa naheshimu sana michango yako. Tatizo mnaegemea upande mmoja kuwalaumu watanzania kuwa ni waoga. Upande wa pili ni aina ya wagombea mnaowaleta. Kuna tatizo kubwa kwa Mgombea wa CHADEMA, kutokana na Lissu kupigwa risasi, zile hasira Kuna watu amewahusisha na wapo front kwenye kuusaka uraisi ambao ni tishio kwa ustawi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tatizo linaanzia njia alizojaribu kutumia Lissu kuusaka uraisi haziwezi kufanya kazi nchi hii(nakuhakikishia). Hii sio Malawi,Zambia au Mali hii ni Tanzania. Na wengi mna underestimate system ya Tanzania. Sio ya mchezo mchezo kiongozi.Uko sahihi maana urais wa nchi hii sio lazima ushinde kwa kura. Iwapo ushindi ungekuwa ni wa kura hiki alichokisema hapa ungebaki nacho. Ila nakushauri endelea kuomba watanzania waendelee kuwa makondoo a.k.a watu wa amani, kinyume na hapo utashuhudia ambacho hukuwahi kuwaza.
Kwahiyo kwenye video sio Mambosasa huyo mkuu?😂fake
Wamwambie na hili.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usalama wamemwambia Magu acha kuhangaika tulia tulii! Huyu kibaraka hawezi kuwa rais
Kama kweli ka withdraw, huyo ndiye Siro halisi wa Mwanza enzi hizo. Huwa anazo busara, basi tu CCM hubemenda raia wema.
Mkuu hii sio Misri wala Tunisia, hii ni Tanzania. Bado siku 25 tu.Nakumbuka Hosni Mubarak na Elbashir walikuwa na wapambe wao kama ww, ila sasa hivi wapambe wao wote wana vusukari maana hawaamini wanachokiona.
Kajinyonge!"Kanda Maalum Ya Polisi Dar Es Salaam" inahusika vipi na uhalifu wa mkoa mwingine, swala la kosa aliloitiwa (Japo halijatajwa) Mh Tundu Lissu ni mkoa wa Mara na akatakiwa ku report Kilimanjaro. Mambosasa yanamhusu nini maswala ya mikoa mingine?.
Nchi yetu jeshi la polisi limekosa weredi kabisa, viongozi wanakurupuka na kujiamulia tu anachojisikia, hawajui "TERRITORIAL JURISDICTION/MAMLAKA YA KIENEO" yanakwenda vipi na yana nguvu gani kisheria na mipaka ya mamlaka hayo.
Mambosasa anatakiwa afanye kazi kulingana na "TERRITORIAL JURISDICTION" ya eneo lake, eneo lake na mamlaka aliopewa kisheria ni ya Kanda Maalum Ya Dar Es Salaam, hana mamlaka kisheria ya kuingilia maswala ya kikazi ya mikoa mingine. Aache kukurupuka kwani atalinajisi jeshi la polisi kuonekana halifuati sheria na mamlaka. Anapaswa arudishwe darasani na apelekwe kusoma upya sheria.
Barua ingekua imetokea "MAKAO MAKUU YA POLISI" raia tusingekua na pingamizi, na tungeiheshimu, kwasababu makao makuu ya polisi wana mamlaka ya mikoa yote kisheria. Ila barua inatoka "KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM". Kwa hilo watuache.
Acha lissu awanyooshe hawa vibwengo wenye vyeo vikubwa bila ya kuwa na elimu ya kukidhi matakwa ya kazi yao. Nchi inaendeshwa na kikundi cha watu wachache wanaojiamulia mambo bila kufuata sheria, wanatumia mamlaka na mabavu, ila sio sheria wala haki.
Au lasivyo wakiachiwa, kesho tutasikia Mhalifu amefanya kosa la Kubaka Morogoro halafu Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kigoma limetoa barua ya kuachiliwa mara moja mhalifu huyo.
#KUFICHA AIBU, kesho utasikia Mambosasa anaongea na vyombo vya habari na kusema barua hio inayozunguka mitandaoni imeandikwa na watu "WASIOJULIKANA", wananchi tunaombwa tuipuuze.[emoji38][emoji16]
sawa ila mkinichagulia wa upinzani hamtapata majiNi jambo jema!
Maendeleo hayana vyama.
"Tutakuwa" wajinga!
Kwa mokorokoro niliyoyaona kwenye hii issue ya Lissu ni hatuna jeshi la polisi ambalo linaweza kumfanya kitu Lissu:bro shetani akikusemesha"tumsifu yesu kristo"
kemea kwa ukali.
usishangilie kwamba sasa ameokoka.
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka aripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro.
Lissu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa ataendelea na ratiba zake ikiwemo kikao cha mabalozi kinachofanyika leo.
“Wito wa polisi sio barua ya kirafiki ni amri kisheria, wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama, huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria, nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho” ameandika Lissu kupitia kaunti yake ya Twitter.
Kwa mujibu ya barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wake wa Chama, Freeman Mbowe, Lissu alitakiwa kuripoti polisi 02/10/2020 kwa ajili ya mahojiano kufuatia kauli na matamshi yake ambayo amekuwa akiyatoa kwenye mikutano yake ya kampeni dhidi ya maafisa wa polisi.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi
View attachment 1587836
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
View attachment 1587905
Hiyo imetoka Lumumba.Sifikirii kama hiyo ni barua kutoka jeshi la polisi
He is just himself!! #NiYeye2020[emoji2]
Jamani narudia tena Lissu sio Slaa, Lissu sio Lowasa Lissu sio Mbowe,