issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Mulimkosa kumuu kwa risasi sasa tumieni ujanja wa sumu kama muliotumia kwa mangulaKumchinja kobe kunataka timing bwashee!
Ataingia tu kwenye 18!
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mulimkosa kumuu kwa risasi sasa tumieni ujanja wa sumu kama muliotumia kwa mangulaKumchinja kobe kunataka timing bwashee!
Ataingia tu kwenye 18!
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka aripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro.
Lissu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa ataendelea na ratiba zake ikiwemo kikao cha mabalozi kinachofanyika leo.
“Wito wa polisi sio barua ya kirafiki ni amri kisheria, wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama, huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria, nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho” ameandika Lissu kupitia kaunti yake ya Twitter.
Kwa mujibu ya barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wake wa Chama, Freeman Mbowe, Lissu alitakiwa kuripoti polisi 02/10/2020 kwa ajili ya mahojiano kufuatia kauli na matamshi yake ambayo amekuwa akiyatoa kwenye mikutano yake ya kampeni dhidi ya maafisa wa polisi.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi
View attachment 1587836
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
View attachment 1587905
Kwa mokorokoro niliyoyaona kwenye hii issue ya Lissu ni hatuna jeshi la polisi ambalo linaweza kumfanya kitu chochote Lissu
1.Lissu amefanya kosa Moshi akaandikiwa barua kuwa aripoti Dar.Hakuna sheria ya namna hiyo
2.Aliefanya kosa ni Lissu ila barua ikaandikwa kwa chadema
3.Barua ilikuwa na kiwango cha chekechea("chana cha democrasia")View attachment 1587961View attachment 1587962View attachment 1587963
Hapana mkuu tusiwabeze sana,nao wanaangalia upepo unakovuma.Wamekubali kuwa sisi ni juu
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka aripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro.
Lissu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa ataendelea na ratiba zake ikiwemo kikao cha mabalozi kinachofanyika leo.
“Wito wa polisi sio barua ya kirafiki ni amri kisheria, wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama, huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria, nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho” ameandika Lissu kupitia kaunti yake ya Twitter.
Kwa mujibu ya barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wake wa Chama, Freeman Mbowe, Lissu alitakiwa kuripoti polisi 02/10/2020 kwa ajili ya mahojiano kufuatia kauli na matamshi yake ambayo amekuwa akiyatoa kwenye mikutano yake ya kampeni dhidi ya maafisa wa polisi.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi
View attachment 1587836
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
View attachment 1587905
Umegeuka mshauri tena? Si hapo juu umekana hii barua ukaiona feki. Kwanini usingeshauri jana?Ujanja uko kwenye box la kura ndugu!
Na binafsi nlishauri hawa polisi waachane na Lisu afanye chochote anachotaka maana pia ni tiba kwake kwa yaliyomsibu.
Wakati mwingine Lisu anapata point za bure kwa mihemuko ya polisi tu.
Mtu inajulikana hawezi kushinda, yanini kuhangaika nae?
Kwenda zako hukolissu anapaswa ajue sio kila mtu ni wa kumuona mjinga.
lazima atumie watu humu humu ndani ya serikali kuwaonyesha ccm kwamba hana tatizo na watu ambao wanajitambua.
kitendo cha kuita askari wajinga halafu wako nyuma yako wengine na unadai ni watu miongoni mwa unao waomba kura,hii nayo ni bangi.
Kwa nini mtu akuite kinyume na sheria uende wakati ratiba ya kampeni ni very tight na shughuli ni nyingi?!Kwani ukitaka kuonyesha kuwa mtu ni kilaza lazima uende alipo physically?kimsingi jeshi la polisi halina mamlaka ya kumfanya mtu kitu chochote,sio kwa sababu huyo ni lissu.
kitendo cha jeshi la polisi kukuita halafu ukachukulia kwanini uitwe hii ni kutokujiamini au uoga.
lissu ni mjuvi wa sheria,ilipaswa aende halafu akawathibitishie kwamba wao ni vilaza hawana la kumfanya.akatumia sheria kufanya uhuni wa watoto watukutu wanaosoma.
hapa tena CHADEMA watazomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu urais ni wake hawezi kuhamgaikia kupoteza rasimali za bure!
Acha Lisu akomae ili angalau aje apate 20%
Kwa nini mtu akuite kinyume na sheria uende wakati ratiba ya kampeni ni very tight na shughuli ni nyingi?!Kwani ukitaka kuonyesha kuwa mtu ni kilaza lazima uende alipo physically?
hapa tena CHADEMA watazomea[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1782][emoji1782][emoji1782]Hahahaha wanajitekenya na kucheka kwenyewe
Isije ikawa ni fake. Maana amri katoa Sirro usitishaji atamke Mambosasa. Hii imekaaje?
Itakuwa ni fake
Polisi mmeonesha weledi wa hali ya juu...hatutaki mtu alete visingizio,uchaguzi huu Lisu ndio atajua CCM ndio Dingi wa siasa za nchi hii.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Wewe utalia, utacheka au utazomea?
Mkuu huwa naheshimu sana michango yako. Tatizo mnaegemea upande mmoja kuwalaumu watanzania kuwa ni waoga. Upande wa pili ni aina ya wagombea mnaowaleta. Kuna tatizo kubwa kwa Mgombea wa CHADEMA, kutokana na Lissu kupigwa risasi, zile hasira Kuna watu amewahusisha na wapo front kwenye kuusaka uraisi ambao ni tishio kwa ustawi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tatizo linaanzia njia alizojaribu kutumia Lissu kuusaka uraisi haziwezi kufanya kazi nchi hii(nakuhakikishia). Hii sio Malawi,Zambia au Mali hii ni Tanzania. Na wengi mna underestimate system ya Tanzania. Sio ya mchezo mchezo kiongozi.