Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Wakuu kama kuna yeyote kafanikiwa kuchomoka na godoro la kuanzia inchi 10 la 5*6 anicheki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na kampuni ya GSM kilichopo eneo la Mikocheni (Karibu na CocaCola) jijini Dar Es Salaam. Kinateketea kwa moto muda huu. Chanzo cha moto bado akijajulikana.

Source: Millard Ayo
 
Kama aliweza kuvamia clouds na mitutu ya bunduki kwasababu tu ya kutoa habari asiyoipenda, kuongoza kikosi kazi cha kummiminia Lissu njugu, hashindwi kwenda kuchoma kiwanda moto yule...
 
Mashabiki wenzangu wa yanga kama tunaweza kwenda airport kuwapokea wapinzani wanaokuja kucheza na simba kwa bashasha zote tunashindwaje kwa umoja wetu kwenda kuuzima moto unaoteketeza kiwanda cha bosi wetu?
 
Inasikitisha sana...

Baada ya uchunguzi inawezekana ikakutwa kiwanda kuchomwa moto kusudi ili kumtia mtu hatiani...

Au kuna wasiojulikana wametumwa kufanya hayo kunyamazisha jambo...
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Reactions: Tui
Inasikitisha sana...

Baada ya uchunguzi inawezekana ikakutwa kiwanda kuchomwa moto kusudi ili kumtia mtu hatiani...

Au kuna wasiojulikana wametumwa kufanya hayo kunyamazisha jambo...
Mwenyewe nawaza kitu kama hiki kwa sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…