Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Chanzo cha moto huo ni Paul Makonda
 
Wafanye uchunguzi wajue chanzo tuache kupiga ramli.

Kwani ajali huwa zinachagua wakati wa kutokea?.
 
Ni nani maadui wa GSM ambao wanaweza kudiriki kufanya hili?

Kuna wakati GSM alituhumiwa kufanya biashara ya madawa
 
Hiyo ni kazi ya bashite [emoji817]
 
Umaskini mbaya sana
Hapo anaona kawakomoa
Kama ni uhasidi basi ni hulka za wengi
Ila ukiwa maskini ni kapuku tu hata upitie vyeo vingapi kama hela huijui nayo haikujui tu tusilazimishe
 
Unapo dhani unaweza vita na wale jamaa mwisho utapotea... Historia inatukumbusha watawala huwekwa na wana idara na yote wanayafanya ni kwa masilahi ya Taifa... Mambo mengine kupotezea... Haya mm napita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…