moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Haya makubi kawatoa wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee ni hatari,mi leo ndio nimepata nafuu kidogo, yaan joto la mwili lilikuwa juu mnoo, kichwa kinauma Hadi nilihisi labda nimerogwa, viungo vinauma Ni balaa, halafu siwanasemaga sisi wenye damu group O ni ngumu kupata hivi vimalazi vidogo dogo,Kwakweli ata mimi leo nipo hovyo ila homa sina napigwa na joto kali,kichwa kinaniuma sana na viungo vinauma sana
Mi nikipata nafuu tu nataka nikachome hiyo chanjo, hivi ni bureWaliochoma wengi hawaumwi
Mara ngapi mumeambiwa mchukue tahadhari mnakaidi na kudharau?Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi,
kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni kwamba kila ninae kutana nae analalamika kikohozi na mafua. Waziri wa Afya upo? mbona haukuoni? mbona hatukusikii?
Ndugu unaishi wapi? Mbona wizara umeshatoa maelezo Leo na kwenye gazeti la mwananchi wametoa ufafanuzi almost page nzima????Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi,
kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni kwamba kila ninae kutana nae analalamika kikohozi na mafua. Waziri wa Afya upo? mbona haukuoni? mbona hatukusikii?
Yes hii ndio maelezo watu hawapendi kusoma habari Kama hizi.Haya makubi kawatoa wasiwasiView attachment 2046267
Ni kweli,nikiwa mmojawapo wa waliochanja,Tatizo watanzania sisi ni wabishi sana bila sababu za msingi.Waliochoma wengi hawaumwi
Hata mimi sijachoma na siumwi hicho kilichoandikwa na nipo Dar, kutwa nzima nashinda kariakoo kwenye msongamano wa watu narudi home saa tatu au nne usikuNi kweli,nikiwa mmojawapo wa waliochanja,Tatizo watanzania sisi ni wabishi sana bila sababu za msingi.
Hongera mkuuHata mimi sijachoma na siumwi hicho kilichoandikwa na nipo Dar, kutwa nzima nashinda kariakoo kwenye msongamano wa watu narudi home saa tatu au nne usiku
Mimi niko safarini lakini naona homa ya Dar imenifata hadi huku TangaAcha uchochezi.
Kwanza ingekuwa ni covid macron kila mji dar ingekuwa na msiba.
Haya ni mabadiliko ya hali ya hewa. Tumepigwa Jua muda mrefu ghafla mvua kubwa lazima makoo yayumbe.
ndivyo ninavyofikiria hata mimi, leo siku ya pili nasikilizia hali ikifika siku ya nne bado sijakaa sawa nitalazimika kutembelea kilingeni!!Acha uchochezi.
Kwanza ingekuwa ni covid macron kila mji dar ingekuwa na msiba.
Haya ni mabadiliko ya hali ya hewa. Tumepigwa Jua muda mrefu ghafla mvua kubwa lazima makoo yayumbe.
Bora tuzitie moto maana hazina watumiaji,zinatugharimu tu kuzitunza!!chanjo ya nini wewee
Mimi nlikuwa naumwa kichwa sana natoka jasho then mwili unatetemeka hadi goose bumps ,ni kama ni sensor za mwili zilikata mawasiliano yan ilikua balaa, nikajihisi nimepata ngoma aisee, nilipanic saana kwasababu sio homa ambayo nimewahi ipata it's something newaisee ni hatari,mi leo ndio nimepata nafuu kidogo, yaan joto la mwili lilikuwa juu mnoo, kichwa kinauma Hadi nilihisi labda nimerogwa, viungo vinauma Ni balaa, halafu siwanasemaga sisi wenye damu group O ni ngumu kupata hivi vimalazi vidogo dogo,
Hila hii huenda Ni Corona mpya,
Kwa Hali niliyokuwanayo siku tatu nyuma, Kama ndio ingekuwa mtu mwenye ngoma ,aisee Ni msiba
Sio wote tunasoma magazeti. Ishu burning kama hii sio ya kuandika kwenye magazeti tuu na kutulia. Enzi za mwenda zake mambo hayakuwa bubu hiviNdugu unaishi wapi? Mbona wizara umeshatoa maelezo Leo na kwenye gazeti la mwananchi wametoa ufafanuzi almost page nzima????