Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

Me mwenyewe leo nimeamka koo linawasha,kichwa kinauma na kahoma flani hivi.

Ni nn hii?
 
hata mimi nilikuwa mgonjwa mafua homa kichwa madonda mdomoni malaria sasa hivi niko poa
 
Kusema kila mtu Dar anaumwa mafua ni Uongo sema baadhi huko kwenu

Umewapima saa ngapi watu wote Dar kuwa wanaumwa mafua? Mleta mada muongo wa kutupwa
Mleta mada amerithi uongo wenu "wana chama cha majambazi".
Uongo wa data mpaka uongo wa ndani ya nyumba za ibada.
 
Nimetoka hospitali jana nilihisi maralia..kumbe wala madaktari wanaelewa hii situation...
 
FB_IMG_16396730494564157.jpg
 
Uko sahihi kwa asilimia 60. Kuna ongezeko kubwa la wagonjwa wa mafua, kifua na homa. Mimi ni mmoja wao tangu jtatu. Jana nimepima Mrdt, Fbp, na unalysis sikuwa na ugonjwa wowote. Najua watu zaidi ya 10 wamekuwa na shida kama yangu. Jamaangu yupo hosiptal amenipa taarifa hiyohiyo.
Uandishi wako ni wa kijinga sana.

jtatu, unalysis ( ndio nini).

Mrdt,Fbp (ndio nini).

Unadhani wote humu ni wataalamu wa tiba katika zahanati za vijijini kwenu huko Mwamire na Galapo?

Andika kwa ufasaha/lugha nyepesi ueleweke.
 
Uandishi wako ni wa kijinga sana.

jtatu, unalysis ( ndio nini).

Mrdt,Fbp (ndio nini).

Unadhani wote humu ni wataalamu wa tiba katika zahanati za vijijini kwenu huko Mwamire na Galapo?

Andika kwa ufasaha/lugha nyepesi ueleweke.
Unawashwa umekuja JF kutafuta basha siyo?

Ni lini vipimo vya maabara vinaandikwa kwa kiswahili? Pumbavu kabisa kenge wahed.
Unalysis huwezi kujuwa kama ni kipimo cha mkojo?

Kima wahed.
 
Back
Top Bottom