Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimeza panadol jana naona ilisaidia ila homa imerudi nataka nimeze tena panadol\pole sana kamanda, kunywa mseto na dawa za mafua za chenga chenga usisahau panadol ni muhim sana bro
ni hatari kabisaMimi nlikuwa naumwa kichwa sana natoka jasho then mwili unatetemeka hadi goose bumps ,ni kama ni sensor za mwili zilikata mawasiliano yan ilikua balaa, nikajihisi nimepata ngoma aisee, nilipanic saana kwasababu sio homa ambayo nimewahi ipata it's something new
Acha uchochezi.
Kwanza ingekuwa ni covid macron kila mji dar ingekuwa na msiba.
Haya ni mabadiliko ya hali ya hewa. Tumepigwa Jua muda mrefu ghafla mvua kubwa lazima makoo yayumbe.
Duuh! Sio kila homa ni malaria.\pole sana kamanda, kunywa mseto na dawa za mafua za chenga chenga usisahau panadol ni muhim sana bro
Sasa kama husomi magazeti ambayo ndio chombo rahisi Cha habari unasoma nini ndugu yangu? Officially habari huwa zinapelekwa kwenye magazeti then media nyingine ndio wanaandika au kuripoti pia.Sio wote tunasoma magazeti. Ishu burning kama hii sio ya kuandika kwenye magazeti tuu na kutulia. Enzi za mwenda zake mambo hayakuwa bubu hivi
wengi wa wanaopata mabadiliko ya tabia mwili ni wale waliokwishaanza mapunziko ya likizo kazini na wale ambao hawafanyikazi zakutumia nguvu, ila kwa tunaoendelea kufukuzana na muda tuko poa.Ni kweli,nikiwa mmojawapo wa waliochanja,Tatizo watanzania sisi ni wabishi sana bila sababu za msingi.
Mkuu niwe mkweli tu, tangu niumwe Malaria 2007 na kutumia mseto nilizoandikiwa Hospital sijawahi kuumwa tena malaria wala ndugu yakeHongera sana, ila ukiumwa uje utuambie, na uende hospitali
mimi bado siamini hata hilo swala la wewe kusema idadi kubwa ya watu uliokutana nao. bado ni uchochezikwenye uzi wangu "kila mtu" ndo ina ukakasi ni kweli, mniwie radhi. Ila haiondoi uhalali wa content kufanyiwa utafiti. Asilimia kubwa ya watu nilio kutana nao wote wana same case, same scenario.
Chanjo ya tezidume!chanjo ya nini wewee
Piga nyungu jifukize utakuwa fresh tuuUko sahihi kwa asilimia 60. Kuna ongezeko kubwa la wagonjwa wa mafua, kifua na homa. Mimi ni mmoja wao tangu jtatu. Jana nimepima Mrdt, Fbp, na unalysis sikuwa na ugonjwa wowote. Najua watu zaidi ya 10 wamekuwa na shida kama yangu. Jamaangu yupo hosiptal amenipa taarifa hiyohiyo.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kusema "kila mtu" wewe ni nani wewe???Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi,
kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni kwamba kila ninae kutana nae analalamika kikohozi na mafua. Waziri wa Afya upo? mbona haukuoni? mbona hatukusikii?