Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

Me mwenyewe leo nimeamka koo linawasha,kichwa kinauma na kahoma flani hivi.

Ni nn hii?
 
hata mimi nilikuwa mgonjwa mafua homa kichwa madonda mdomoni malaria sasa hivi niko poa
 
Kusema kila mtu Dar anaumwa mafua ni Uongo sema baadhi huko kwenu

Umewapima saa ngapi watu wote Dar kuwa wanaumwa mafua? Mleta mada muongo wa kutupwa
Mleta mada amerithi uongo wenu "wana chama cha majambazi".
Uongo wa data mpaka uongo wa ndani ya nyumba za ibada.
 
Nimetoka hospitali jana nilihisi maralia..kumbe wala madaktari wanaelewa hii situation...
 
Toka Jana sijielewi koo linauma dizain kam matonses hivi kifua kinabana kweli
 
Uandishi wako ni wa kijinga sana.

jtatu, unalysis ( ndio nini).

Mrdt,Fbp (ndio nini).

Unadhani wote humu ni wataalamu wa tiba katika zahanati za vijijini kwenu huko Mwamire na Galapo?

Andika kwa ufasaha/lugha nyepesi ueleweke.
 
Uandishi wako ni wa kijinga sana.

jtatu, unalysis ( ndio nini).

Mrdt,Fbp (ndio nini).

Unadhani wote humu ni wataalamu wa tiba katika zahanati za vijijini kwenu huko Mwamire na Galapo?

Andika kwa ufasaha/lugha nyepesi ueleweke.
Unawashwa umekuja JF kutafuta basha siyo?

Ni lini vipimo vya maabara vinaandikwa kwa kiswahili? Pumbavu kabisa kenge wahed.
Unalysis huwezi kujuwa kama ni kipimo cha mkojo?

Kima wahed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…