ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Ahojiwe kama jina ni la kwake?Ahojiwe
Weka both teams to score 🙂Nataka nitupie mpunga hapa. Sasa sijui ktk huu mchuano nani ataibuka kidedea.
Msaada Wazee wenzangu wa kubet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema kuna maajabu ya dunia yanayopatikana katika nchi mbali mbali, ila Tanzania yenyewe ni ajabu miongoni Mwa maajabu,
Watu wanajitolea kukusanya vifaa kuwasaidia watanzania walioko katika shule zisizo na vifaa Alafu inafika bandarini eti viuzwe,??
Kama wanajali sana hela basi vinunuliwe na wizara ya elimu,
Tanzania ilivyonikatisha Tamaa mimi kuhusu michango ya kujitolea kuokoa majanga nadhani hata wengine wamekata tamaa,
Kuna rafiki yangu mtoto wa mtu mkubwa wa zamani anakaa Norwich nilipomtembelea juma lilee akanambia kuna vifaa vya hospital tuvikusanye tutume visaidie hospital za Tanzania, nisiwe mnafiki nilimjibu Tokea serikali imeleta zuruzunga kwenye Hela ya Tetemeko niliyochangia USD 400 nikidhani zitamfikia yule mama ambaye alitumika kukusanya Hela Mara matembezi masaki Mara changia bukoba, kumbe picha yake inatumika tu, sitakuja kuchangia Janga lolote Tanzania, acha wenye za kuchezea wachange,
Sasa Leo huyo jamaa yangu baada ya kusikia makontena ya makonda ya msaada yamezuiliwa ili yauzwe kanipigia moja kwa moja kwamba ulisema kweli, nami sivikusanyi
Mnakatisha wanaojitolea tamaa,
Ni bora ukatumia hela yako kuinua familia yako kuliko kuchangia Majanga ambayo serikali haithamini mchango wako,
Britanica
#May 18#JumapiliAugust26
"Makontena yenye vifaa vya elimu hayatapigwa mnada. Na anayetaka kuyanunua, Mungu atamlaani" Paul Makonda, RC DSM.
#VijanawaCCM: Hureee. Hongera sana mheshimiwa. Wewe ni mtetezi wa wanyonge. Tupo pamoja nawe katika kupigania maslahi ya wanyonge. Wapinzani walifanya fitina ili makontena yapigwe mnada, sasa wameumbuka.
#JumatatuAugust27
"Nimeapa kulinda na kusimamia sheria za nchi, sitishwi na mikwara ya mwanasiasa yeyote. Mpuuzeni huyo anayesema atakayenunua haya makontena atalaaniwa. Mungu hasikilizi maombi ya aina hiyo" Dr.Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na uchumi.
#VijanaWaCCM: Hureee. Hongera sana Mheshimiwa Waziri. Serikali makini ni inayoweza kukusanya kodi. Endelea kusimamia sheria ili mapato yaongezeke na uchumi ukue. Tupo pamoja nawe mheshimiwa waziri.
#MyTake:
Najaribu kufikiria aina ya zamadamu waitwao CCM nakosa majibu.! Na malisa G
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaNaona tumekubaliana sote kuwa Paul Makonda ni jina la kwake!
Kwahiyo hana kesi?Ahojiwe kama jina ni la kwake?
Sawa jadili Mada,Unamwamini huyo ? Kwanza yupo Buguruni kwa Mnyamani ila anajifanyaga yupo Ulaya anatunfatunga tu stori
We ndo hati miliki ya kulalamika tu, unisamehe kukuingiliaWewe huwa pimbi Sana, unalalamika nini humu wakati kutwa unasifia serikali hii ya kishetani iliyosimikwa na Lucifa kutoka kuzimu,ni bora ukae kimya tu.