DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Ataenda kujadiliana nao nin?1.5b ni pesa nyingi sana hio,tra wakifanya uzembe hapo magu anaweza akapita nao,,aliletaje mzigo bila kujua kama kuna msamaha au hakuna,,,hakuna namna hapo wacha nayeye aisome namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvccm[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wengi tupo kwa ajili ya tumbo hayupo kwa ajili ya taifa na hakujali vizazi vyetu vitakuwa kuishi vip unafiki mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema kuna maajabu ya dunia yanayopatikana katika nchi mbali mbali, ila Tanzania yenyewe ni ajabu miongoni Mwa maajabu,

Watu wanajitolea kukusanya vifaa kuwasaidia watanzania walioko katika shule zisizo na vifaa Alafu inafika bandarini eti viuzwe,??

Kama wanajali sana hela basi vinunuliwe na wizara ya elimu,

Tanzania ilivyonikatisha Tamaa mimi kuhusu michango ya kujitolea kuokoa majanga nadhani hata wengine wamekata tamaa,

Kuna rafiki yangu mtoto wa mtu mkubwa wa zamani anakaa Norwich nilipomtembelea juma lilee akanambia kuna vifaa vya hospital tuvikusanye tutume visaidie hospital za Tanzania, nisiwe mnafiki nilimjibu Tokea serikali imeleta zuruzunga kwenye Hela ya Tetemeko niliyochangia USD 400 nikidhani zitamfikia yule mama ambaye alitumika kukusanya Hela Mara matembezi masaki Mara changia bukoba, kumbe picha yake inatumika tu, sitakuja kuchangia Janga lolote Tanzania, acha wenye za kuchezea wachange,

Sasa Leo huyo jamaa yangu baada ya kusikia makontena ya makonda ya msaada yamezuiliwa ili yauzwe kanipigia moja kwa moja kwamba ulisema kweli, nami sivikusanyi

Mnakatisha wanaojitolea tamaa,
Ni bora ukatumia hela yako kuinua familia yako kuliko kuchangia Majanga ambayo serikali haithamini mchango wako,

Britanica

Mtoa mada unauhakika gani kuwa vile vifaa vilikuwa vya kwa ajili ya msaada wa shule

Serikali ina mkono mrefu usikute pale kuna vifaa vya GSM
 
#JumapiliAugust26
"Makontena yenye vifaa vya elimu hayatapigwa mnada. Na anayetaka kuyanunua, Mungu atamlaani" Paul Makonda, RC DSM.

#VijanawaCCM: Hureee. Hongera sana mheshimiwa. Wewe ni mtetezi wa wanyonge. Tupo pamoja nawe katika kupigania maslahi ya wanyonge. Wapinzani walifanya fitina ili makontena yapigwe mnada, sasa wameumbuka.

#JumatatuAugust27
"Nimeapa kulinda na kusimamia sheria za nchi, sitishwi na mikwara ya mwanasiasa yeyote. Mpuuzeni huyo anayesema atakayenunua haya makontena atalaaniwa. Mungu hasikilizi maombi ya aina hiyo" Dr.Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na uchumi.

#VijanaWaCCM: Hureee. Hongera sana Mheshimiwa Waziri. Serikali makini ni inayoweza kukusanya kodi. Endelea kusimamia sheria ili mapato yaongezeke na uchumi ukue. Tupo pamoja nawe mheshimiwa waziri.

#MyTake:
Najaribu kufikiria aina ya zamadamu waitwao CCM nakosa majibu.! Na malisa G

Sent using Jamii Forums mobile app
#May 18
"Hizo Habari hata mimi nazisikia kwa watu. Sina kontena wala sijaagiza kontena mimi" Paul Makonda, RC DSM.

UMESAHAU HIYO MKUU.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ubaya wa sheria ukianza kuipindisha kwa ajili ya mtu flani hapo ndo uta fail daima

kama kweli vifaa vinakuja kwa ajili ya misaada ya walimu kwann visiingizwe kwa jina la taasisi husika???

Leo yy ndo kawa wa kwanza kuomba misaada nje??

Rais mwenyewe haagizi kwa jina lake who is he mpaka yy awe special mpka sheria ipindishwe??

tukianza kuruhusu kwake viongoz wengne wakiiga mtalalamika??

hapa ndo hua naamini common sense is not common for everyone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu tu hawampendi makonda.. ila kuuza meza za walimu ni wehu
 
Wewe huwa pimbi Sana, unalalamika nini humu wakati kutwa unasifia serikali hii ya kishetani iliyosimikwa na Lucifa kutoka kuzimu,ni bora ukae kimya tu.
We ndo hati miliki ya kulalamika tu, unisamehe kukuingilia
 
Fuateni utaratibu kama ni vifaa kwaajili ya msaada kwanini vinatumwa kwa jina lako alafu hapo hapo unataka msamaha wa kodi. Kataaaaa nasema kataaa maneno mawili tu ka-ta
 
Back
Top Bottom