Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
YesWasiwasi wangu vilivyokuja vilishachukuliwa vilivyopo nivingine, hili ninaliamini 78%.
Haiwezekani muda wote wawe wanasubiri kusamehewa kitu kisichosameheka na wasitafute plan b.
SureJPM hupenda kufanya kazi kwa kujitegemea kimawazo. Ukimpelekesha tu basi ujue umeshaharibu.
Alipomkingia kifua wakati wa ile vita ya wauza sembe, haikumaanisha kwamba dogo ni msafi bali hakutaka kuvunja morali iliyokuwa imeshajengeka.
JPM ana msimamo mkali kwenye mambo yake.
Makonda sio Nikolas Biwott wa Kenya enzi za Rais Moi.Hivi Magufuli si ndo anashtumiwa kumbeba Makonda?
Tuna ushahidi wa kutosha wa marais waliofanya madudu ya kuwabeba ndugu na marafiki kwenye mizigo yao pale bandarini, je Magufuli angekuwa anambeba Makonda ,si angetuma memo tu?? Kwamba hayo makontena yaachiwe Mara moja?
Ninahisi Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, ila hapendi kushinikizwa kuchukua hatua,
Naanza kupata mwanga wa mambo mbali mbali
Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, si ambebe hata kwa hili??
Au kambeba kaona habebeki? Au kambeba kaona amechoka, au hajawahi kumbeba kabisa
Taifa lisilo na mashauri upelekea anguko kuuJibu ni hajawahi kumbeba kabisa ila hapendi kufundishwa what to do! Actually yuko sahihi! He is the one responsible for everything in this Country. Tukifa na njaa ni yeye, tukitajirika kama Nchi ni yeye, Tukiwa wezi ni yeye, na hata tukiogopa rushwa ni heye. Yaani ni kila kitu. Sasa ukiamua kumfundisha fanya hivi or fanya vile basi wewe utakiwa wa ajabu maana hakuna mtu atakaekufahamu hata mambo yakienda hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wewe unajifanya kipofu wakati masikio makubwaaaa !! pale SIZONJE aliposema yeye haangali vyeti anaangalia uchapakazi inamaana hukumuelewa... ''MAKONDA WE CHAPA KAZI TU'' na kazi ndo hii sasa ya makontenaHivi Magufuli si ndo anashtumiwa kumbeba Makonda?
Tuna ushahidi wa kutosha wa marais waliofanya madudu ya kuwabeba ndugu na marafiki kwenye mizigo yao pale bandarini, je Magufuli angekuwa anambeba Makonda ,si angetuma memo tu?? Kwamba hayo makontena yaachiwe Mara moja?
Ninahisi Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, ila hapendi kushinikizwa kuchukua hatua,
Naanza kupata mwanga wa mambo mbali mbali
Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, si ambebe hata kwa hili??
Au kambeba kaona habebeki? Au kambeba kaona amechoka, au hajawahi kumbeba kabisa
Kilichofikiriwa ni kuokoa chama kwanza dhidi ya white man with pure heart, kwanza hata kama mengine yataangamiaWanakera sana mkuu, tumekuwa taifa la udaku udaku tu na mambo yasiyo na msingi kuanzia viongoz wakuu mpaka kwetu huku. Wenzetu Kenya wanapiga hatua za maana aisee sijui nani katuletea hiki kituko.
Kenya wamepiga hatua ya wapi, unaishi kenya mkuu, au unasikiliza kupitia BBC SwahiliWanakera sana mkuu, tumekuwa taifa la udaku udaku tu na mambo yasiyo na msingi kuanzia viongoz wakuu mpaka kwetu huku. Wenzetu Kenya wanapiga hatua za maana aisee sijui nani katuletea hiki kituko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii move ni Kali mno mi Magufuli hata hasipoleta maendeleo katuonesha move za furaha action bila malipo haha, kama za vibanda umiza
asante kwa majibu asanteeh.... IN MAKINDA'S VOICEMajibu yako ni kama ifuatavyo;
1: YALE NI MSAADA so yapite BURE, na atakayenunua atalaaniwa na Mungu wake yeye binafsi.
2: Ametumia utaratibu wa sheria mpya ambayo haijaundwa bado, ya kuagiza mizigo kwa jina lako binafsi na kuomba msamaha wa KODI
3; Aliyakana kwasababu hakusikia vizuri jina lake km limetamkwa, si unajua mara Daudi Bashite, mara Boy from Koromije, mara Paulo Makonda, yani majina mengi so yanachanganya sometime.
4: Watatunga na kutumia sheria mpya ambayo itaondoa vuguvugu lote hili, sheria mpya itaruhusu mtu binafsi kuingiza mizigo ya misaada na kuitoa free.
5: Waliandika makonda kwasababu Diaspora wanamfaham kama Makonda, wangeandika bashite yasingefika,
Subiri ujio wa sheria mpya,
Sent using Jamii Forums mobile app