DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

JPM hupenda kufanya kazi kwa kujitegemea kimawazo. Ukimpelekesha tu basi ujue umeshaharibu.

Alipomkingia kifua wakati wa ile vita ya wauza sembe, haikumaanisha kwamba dogo ni msafi bali hakutaka kuvunja morali iliyokuwa imeshajengeka.

JPM ana msimamo mkali kwenye mambo yake.
 
Sure
 
Hivi Magufuli si ndo anashtumiwa kumbeba Makonda?
Tuna ushahidi wa kutosha wa marais waliofanya madudu ya kuwabeba ndugu na marafiki kwenye mizigo yao pale bandarini, je Magufuli angekuwa anambeba Makonda ,si angetuma memo tu?? Kwamba hayo makontena yaachiwe Mara moja?

Ninahisi Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, ila hapendi kushinikizwa kuchukua hatua,

Naanza kupata mwanga wa mambo mbali mbali

Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, si ambebe hata kwa hili??

Au kambeba kaona habebeki? Au kambeba kaona amechoka, au hajawahi kumbeba kabisa
Makonda sio Nikolas Biwott wa Kenya enzi za Rais Moi.
Lakini kuna wakati Makonda anaonekana kama mtu asietishwa na yeyote tokea amzabe makofi Jaji Warioba licha ya kuwa waziri mkuu mstaafu pale Ubungo Plaza,akazawadiwa na raisi Kikwete kuwa DC Kinondoni.
Japo Magu ni mtu wa misimamo mikali lakini kuna wakati damu ni nzito kuliko maji.
 
Jibu ni hajawahi kumbeba kabisa ila hapendi kufundishwa what to do! Actually yuko sahihi! He is the one responsible for everything in this Country. Tukifa na njaa ni yeye, tukitajirika kama Nchi ni yeye, Tukiwa wezi ni yeye, na hata tukiogopa rushwa ni heye. Yaani ni kila kitu. Sasa ukiamua kumfundisha fanya hivi or fanya vile basi wewe utakiwa wa ajabu maana hakuna mtu atakaekufahamu hata mambo yakienda hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taifa lisilo na mashauri upelekea anguko kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Magufuli si ndo anashtumiwa kumbeba Makonda?
Tuna ushahidi wa kutosha wa marais waliofanya madudu ya kuwabeba ndugu na marafiki kwenye mizigo yao pale bandarini, je Magufuli angekuwa anambeba Makonda ,si angetuma memo tu?? Kwamba hayo makontena yaachiwe Mara moja?

Ninahisi Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, ila hapendi kushinikizwa kuchukua hatua,

Naanza kupata mwanga wa mambo mbali mbali

Magufuli hajawahi kumbeba Makonda, si ambebe hata kwa hili??

Au kambeba kaona habebeki? Au kambeba kaona amechoka, au hajawahi kumbeba kabisa
yaani wewe unajifanya kipofu wakati masikio makubwaaaa !! pale SIZONJE aliposema yeye haangali vyeti anaangalia uchapakazi inamaana hukumuelewa... ''MAKONDA WE CHAPA KAZI TU'' na kazi ndo hii sasa ya makontena
haya ndio matunda ya mbeleko kwa BASHITE aka PAULO
 
Kuna watu wapo duniani kama bendera hawajahi tumia japo punje ya ubongo wao kwasababu ya mahaba.

1. Yale makontena yamebeba viti vya ofisini wala si madawati, Niambieni ni shule gani wanakalia viti vya kuzunguka?
2. Uagizwaji Wa makontena haukuzingatia taratibu, niambieni tangu lini msamaha umeanza kutolewa kwa huruma ya walengwa?
3. Kwanini mwenye Makontena aliyakana pale mwanzo?
4. Yakiachwa yapite Bure Tutakuwa tumewafundisha nini Wasimamizi Wa forodha na ushuru kwa vitu visivyo zingatia utaratibu?
5. Kwanini yaliandikwa jina la Makonda (Personal)?
===============
NOTE; Mtoto hata ukimkalisha kiti cha mwalimu Mkuu haina maana ndiyo atajua kusoma na kuandika
 
Wanakera sana mkuu, tumekuwa taifa la udaku udaku tu na mambo yasiyo na msingi kuanzia viongoz wakuu mpaka kwetu huku. Wenzetu Kenya wanapiga hatua za maana aisee sijui nani katuletea hiki kituko.
Kilichofikiriwa ni kuokoa chama kwanza dhidi ya white man with pure heart, kwanza hata kama mengine yataangamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania cjui nani katuroga, huko vijijini watoto wanakaa chini si angalau wameletewa viti hivi wasome
 
Majibu yako ni kama ifuatavyo;

1: YALE NI MSAADA so yapite BURE, na atakayenunua atalaaniwa na Mungu wake yeye binafsi.
2: Ametumia utaratibu wa sheria mpya ambayo haijaundwa bado, ya kuagiza mizigo kwa jina lako binafsi na kuomba msamaha wa KODI
3; Aliyakana kwasababu hakusikia vizuri jina lake km limetamkwa, si unajua mara Daudi Bashite, mara Boy from Koromije, mara Paulo Makonda, yani majina mengi so yanachanganya sometime.
4: Watatunga na kutumia sheria mpya ambayo itaondoa vuguvugu lote hili, sheria mpya itaruhusu mtu binafsi kuingiza mizigo ya misaada na kuitoa free.
5: Waliandika makonda kwasababu Diaspora wanamfaham kama Makonda, wangeandika bashite yasingefika,

Subiri ujio wa sheria mpya,

asante kwa majibu asanteeh.... IN MAKINDA'S VOICE
 
Lakini kibaya zaidi ambacho watu hawakioni ni kwamba, hizi laana na lawama anazozirusha kwa serikali inaleta picha kwamba haifuati wala kuheshimu taratibu.

Ni kandamizi na ya kibabe. Hivi kweli wahusika wa Forodha, TPA na mawaziri wameshindwa kabisa kuelewa kwamba hivyo vitu vinaenda kusaidia watoto? Hiyo ndio picha tunayoipata kwamba anaonewa, lakini Je, ni kweli anaonewa?
 
Back
Top Bottom