DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Eeh anaonewa, kwani wewe hupendi kuleta kontena lako la msaada, wataleta sheria mpya ya forodha itakayoruhusu watu binafsi kuja na makontena lukuki na kuyapitisha free pale bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa ukimuondoa Bashite, na yeye ataondoa ulinzi Wa Gambush pale Magogoni.

Lakini pia kwa mambo ya mkulu aliyoyafanikisha ni ngumu kumuondoa
 
kwa kweli hii kitu inachanganya sana, nadhani sheria za nchi ndio zinapaswa kutuongoza kwenye kutafuta ufumbuzi wa hili
 
Una uhakika kuwa vile ni vifaa vya msaada? Fikiria kabla ya kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mada kuntu hii
 
Tatizo mbeleko

Jr[emoji769]
 


Mbona yeye anasema atamsema kwa RAIS au ni Rais yupi atamsemea kwake? TFF au rais wa DARUSO?
 
wanasemaga jawabu la maskini ni kunyamaza,lets wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…