Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Eeh anaonewa, kwani wewe hupendi kuleta kontena lako la msaada, wataleta sheria mpya ya forodha itakayoruhusu watu binafsi kuja na makontena lukuki na kuyapitisha free pale bandariniLakini kibaya zaidi ambacho watu hawakioni ni kwamba, hizi laana na lawama anazozirusha kwa serikali inaleta picha kwamba haifuati wala kuheshimu taratibu.
Ni kandamizi na ya kibabe. Hivi kweli wahusika wa Forodha, TPA na mawaziri wameshindwa kabisa kuelewa kwamba hivyo vitu vinaenda kusaidia watoto? Hiyo ndio picha tunayoipata kwamba anaonewa, lakini Je, ni kweli anaonewa?
Sent using Jamii Forums mobile app