DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Unaweza kutaja mambo yakimaendeleo aliyoanzisha Makonda na yakafanikiwa tangu alivyokuwa mkuu wa Wilaya hadi sasa mkuu wa Mkoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokijua mimi, Siku huisha kabla ya kuanza mpya
 
Kenyatta alitwita watanzania maiti sisi hata hisia na nchi yetu na rasilimali na kodi zetu. Hatuna uchungu nazo tuwachie maiti tulale sisi


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Leo hii yuko wapi
 
Sheria ni msumeno, no body is above the law, na kutokujua sheria hakuhalalishi maovu no matter what, sheria ichukue mkondo wake, waziri yupo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I dont buy your Idea,hakuna uhusiano wa moja kwa moja na uchaguzi wa marudio na hata hivyo watu hawana interest na uchaguzi wowote kwa kuwa matokeo yanajulikana.
 
umenena
 
Hiyo sababu inaelekea kueisha muda wake. Watu wa ngada hawana mda nae tena saivi.
 
Waache waibe tu cc tunataka kodi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni mmoja wa wale watu wake walio ktk korido za RC hapo Boma Ilala kila kukicha kwa ajili ya ujira wao toka kwake. ndio akina le mutuz hao. na ndio maisha yao. tafuteni kazini nyingine mwisho wenu umewadia.
 
kwa sirikale hii huitaji kuwa na elimu KUUUBWA.
hata darasa la saba Unweza kuwa NAIBU RAHISI
 
Wengi sasa tunajua kuwa kuna sakata la makontena 20 yanayoshikiliwa na TRA yakidaiwa kuingizwa nchini kwa jina binafsi la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mnada wa makontena hayo, kwa mujibu wa gazeti la leo la Mtanzania, umepangwa kufanyika tena mnamo Septemba 1 mwaka huu yaani Jumamosi ijayo.

Kwa mujibu wa maelezo ya upande wa Makonda yaliyoripotiwa, inadaiwa kuwa makontena hayo 20 yana samani za shule za mkoa wa Dar es Salaam zilizochangwa na kuingizwa nchini na watanzania wema waishio nje ya nchi almaarufu kama Diaspora. Taarifa zinadai kuwa wanaDiaspora hao walichanga na kuleta samani hizo ili kuunga mkono juhudi za Rais na Mkuu huyo wa mkoa wa Dar za kuboresha elimu.

Iko wazi kuwa JamiiForums ni mtandao wa kijamii wenye wanachama kila kona ya dunia hii. Kuanzia watanzania hadi wale wasio watanzania wamekuwa wanachama wa mtandao huu. Katika kusema hivyo, wapo wana-JF ambao ni wanaDiaspora mfano mtani wangu Nyani Ngabu anayesemekana kuwepo nchini Marekani. Ndiyo maana nimeona vyema kuwauliza wanaDiaspora kokote walipo, kama 'wachangiaji' wa makontena 20 yanayohusika maswali yafuatayo ya lazima.

Mosi, ni kweli kuwa wanaDiaspora ndio waliochanga na kufanikisha kuletwa kwa makontena yaliyo mikononi mwa TRA? Pili, makontena hayo yamebeba bidhaa gani hasa? Tatu, mlengwa wa makontena hayo na bidhaa zake ni nani? Nne, kwanini yaliingizwa nchini kwa jina binafsi la Paul Makonda na si Ofisi ya Mkuu wa Mkoa au Wizara au Taasisi yoyote ya kiserikali? Na tano, watumaji mliambiwaje kuhusu kodi ya bidhaa hizo ili ziweze kutoka mikononi mwa TRA?
 
Mkuu mleta thread, je kama makonda alipambana na madawa ya kulevya, utajiri wake wa kutisha na wa muda mfupi ameupataje?
 
Mkuu MAGACHA ,ndiyo hiyo sababu moja tu? Ulikuwa na haja gani kusema sababu ni hizi hapa kama ipo moja? Nadhani,kawaida wananchi kama wewe hupiga ramli chonganishi. Kimsingi,ni Rais tu ndiye anayejua kwanini amemteua au kwanini amtumbue/asimtumbue.


usimlaumu Mkuu hiyo ni GPA YA 32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…