niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Wewe unawaza uchaguzi tu?
sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
sipo hapa kumfurahisha mtu. Over.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutaja mambo yakimaendeleo aliyoanzisha Makonda na yakafanikiwa tangu alivyokuwa mkuu wa Wilaya hadi sasa mkuu wa Mkoa?Mimi kiukweli nipo hivi… .
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Leo hii yuko wapiKenyatta alitwita watanzania maiti sisi hata hisia na nchi yetu na rasilimali na kodi zetu. Hatuna uchungu nazo tuwachie maiti tulale sisi
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
umenenaMkuu umezisoma hoja za Dr. Mpango katika barua aliyomjijibu Mh. Paul Makonda juu ya ombi lake la kutaka kupewa msamaha wa kodi wa mzigo huo?
Je katika barua hiyo umeusoma vizuri ushauri alioutoa Dr. Mpango kwa Mh. Makonda ili Mzigo huo apate Tax execemption?
Je kwa nini Mh. Makonda hakufata ushauri huo aliopewa toka May mapaka leo.
Sheria ni sheria tu. Kama tunashindwa kusimamia sheria ndogo kama hizi tulizojiwekea, vipi sheria katika maswala makubwa?
Hii nzuri piaMimi binafsi naweka wazi kwamba ninatamani Makonda atumbuliwe, ili ashike adabu na ajifunze kwamba cheo ni dhamana. Sipendi viongozi miungu watu.
alaah kumbeNinachokijua mimi, Siku huisha kabla ya kuanza mpya
Waache waibe tu cc tunataka kodi yetuTeam; kuna uchaguzi wa marudio na soon goli litafungwa kwa mkono; hizi drama zinazoendelea moja n kuwafanya watu wadisciscus zaid sakata hili.
Tunatolewa kwenye agenda hapa ya uchaguzi! Ili kelele za wapinzani kwenye kampeni zisiwe na Kiki pamoja na figisu za goli la mkono.
Mwaka jana kwenye bajeti Makonda alikuja na movie ya kutotoa kwenye agenda tukaishia kujadili watoto walio telekezwa afta bajeti movie ikaishia hapo!
Hiyo n spinning movie! Sterling ni Makonda, co actor mpango na dotto.
Na ili kuinogesha movie wakina musiba nao wameongezwa! Tunapigwa matukio na mtengeneza matukio!
Another Makonda job, Sheriff in town!
kwa sirikale hii huitaji kuwa na elimu KUUUBWA.Mimi kiukweli nipo hivi… .
Nilifundishwa kupenda maendeleo na wazaz wangu hvyo pia napenda mtu anayependa maendeleo…
Makonda amekuwa mpenda mwendeleo pamoja shutuma kibao lakini anapambana watu tumekalia maneno tu kumsema… ..
tufike mahali tuwe wakweli elimu sio kila kitu ila akili ndio kila kitu… ..
Nchi yetu inaponzwa na siasa za ubaguzi yaani tunaangalia nani kafanya na yupo upande upi upuuzi mtupu tufike mahali tuache siasa kwenye maendeleo… ..
Mkuu MAGACHA ,ndiyo hiyo sababu moja tu? Ulikuwa na haja gani kusema sababu ni hizi hapa kama ipo moja? Nadhani,kawaida wananchi kama wewe hupiga ramli chonganishi. Kimsingi,ni Rais tu ndiye anayejua kwanini amemteua au kwanini amtumbue/asimtumbue.