DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

HIVIII... ILE HOTEL yetu fenicha zake zilikamilika kweli? vitanda makochi.....??
 
[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi samani zingeliandikwa jina la KUB zingetetewa sana na wanabavichaa humu.
 
Kaka hapo huwezi kupata majibu,huyu mkuu wa mkoa anawafanya watu wajinga.Naamini serikali inajua kila kitu kuhusu hayo makontena wapi yalikuwa yanakwenda.Serikali inamkono mrefu sana wakupata taarifa.Ila huyu PM anajifanya mjanja.
 
Hivi jamii forum hawajazindua kitufe cha dislike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Makamishna wa Kitengo cha Madawa ya kulevya wanabadilishwa na wengine wanastaafu , hao hawaogopi kuuawa ?
 
Hiyo sio kinga mkuu hayo mazuri unayoyasema kayafanya ndio wajibu wa kiongozi kuyafanya na ndio aliyoapa kusimamia na kuyatekeleza. Anapoteleza lazima akosolewe. Sio utetezi huo mkuu
 
Acha upuuuzzi wwe.hiv unaiona jf,ni ya matangazo ya biashara.Jaman Mods,vp.SKU izi MBNA kazi yenu haionekan kwa mada za kizushi km hiz.au hela za mb zimewazidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiba sema machache , Makonda uliwahi kumtetea, mbaya zaid hujajua Magufuli yuko upande gani, unataka ukuu wa wilaya cheza kwa akili mchezo huu,

Nataka kununua popcorn za kutosha niimalize movie hii
mkuu amekusaidia kuhesabu... ulisema makontena 36... musiba ame hesabu yamefika 800... na kataja vilivyomo ndani sio madawati tu... na meza za kusomea...
 
sipati picha kule instagram. lemutuz lazima na yeye atarudi na mfululizo wa matamko ya kumsafisha boss wake(daud bashite)

uzuri wa hii drama kila upande una mpambe wake wake wa kurusha maneno.

ila mwisho wa siku lazima kuna upande utapata hasara.
Le mobimba uwa ana angaliaga upande wa ushindi ana pima maji... alikataa kukaa upande wa mama yake kipindi katenguliwa u RC itakuwa kwa huyu wa Dar
 
Mtoa mada ni wale wale!
Hujui na hutambui kinachoendelea na ndo maana unatumika kuandika uongo. Kwenda zako na mauongo yako.
 
Jamaa anakera mpaka basi tu .............!!

Yaani hii nchi kwa sasa kama ili mradi unasifia basi unaweza kuongea kitu chochote tu .......... Huyu Musiba ni Msiba kwa Taifa. Sijui ni kwa nini hachukuliwi hatua. Kwa sasa amekuwa kama ndiye msemaji wa Rais na serikali ......... anatia hasira!!

Sasa makoteina 800 si ni meli nzima inakuwa imeleta mzigo wa mtu moja tu ............ seriously!!
 
Buhahahahaha

Kwakweli

maisha yanapiga mpaka akili inasahau kazi yake!!!!

Pole sana ndg

ila umejitahidi kdg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu msiba bangi alizovuta akiwa mara zimemuathiri ubongo
 


Ikiwa ni siku moja tu imepita tangu Makontena 20 yenye samani yaliyozuiliwa Bandarini kukosa wateja wa kuyanunua Agosti 25, 2018; Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mnamo Agosti 26, 2018, akiwa katika Ibada Maalum ya Kanisa la Anglikana, wilayani Ngara, Mkoa wa Kagera, aliwaonya wale wote watakaothubutu kununua Makontena yake kuwa watalaaniwa. Makonda alidai anaamini Mungu alimpa kwa ajili ya walimu wa Mkoa wangu.
Hata hivyo, TRA baada ya kupata tena baraka za Waziri wa Hazina, Phillip Mpango, Agosti 27, 2018, imetangaza tena mnada mwingine kufanyika keshokutwa Septemba Mosi, 2018
Hata hivyo, licha ya Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo, kuwaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kununua samani zilizomo, bado haijulikani kama hofu kubwa waliyokuwa nayo wateja ya kuja kushughulikiwa baadaye na Makonda imeisha. Hata hivyo kwa kuwa, haijajulikana yupi ndiye yupi kati ya Mpango na Makonda, inaweza kusababisha hofu kuendelea kuwepo.
Labda Cyprisn Musiba, ametoa mwelekeo wa hali ililivyo na wapi uzito umeegemea, lakini Wafanyabiashara watahitaji kuwa more cautious baada ya kujionea wenyewe madhara ambayo huwakuta wanapodharau ama kuingilia wanasiasa.
Je, ni muda muafaka kwa waumini ambao ni wafia nchi nao kuingia chimbo kuomba ili kuondoa mkosi wa laana ulioletwa na Makonda? Jamani nendeni kuomba tunaitaka bilioni yetu ya kodi.
Jamani shangilieni basi twafungwa siye ati? Nalianzisha dude ....
 
Wale jamaa waliokuwa wanawatetea bashite na musiba hivi kwa sasa mko upande upi?
Mko upande wa Mpango au Makonda..?!
Musiba nae kaibuka, ambapo alidaiwa kutumwa na "mwana" wa mkulu mara kwa mara kumsemea mambo mbalimbali nae kaamua kumlipua "mwana"
Namuuliza Le mutuz a.k.a kitumbo na wengine mpo upande gani...??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…