Ishu hii Mshindi Mkuu wa Mkoa, hoja zake zina make sense.
Raisi kamuelewa ndio maana yuko kimya.
Hakuna atakaye ondolewa kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua anaweza akatamkia huko hukoUsiwe Na wasiwasi Chuma kimeanza Ziara Mikoa ya kanda ya Ziwa jibu utalipata
Kwani anaetangaza ni yeye au ni maagizo tuu kwa msigwaHawezi toa neno lolote anaacha wajichanganye hapo yupo anaandaa waziri mwingine ukija kumsikia basi ujue anatangaza uteuzi mpya
Kiitifaki naibu rais aliwazidi makamu na waziri mkuu.Maisha yanaenda kwa kasi sana yani!...yani Mkuu wa Mkoa wazi wazi kabisa anabishana na Waziri anayehusika na jambo lililo chini yake!...na hata baadhi ya Mawaziri kufyata mkia kwa RC!
Tunazeeka kwa kasi sana aisee!
Zamani haya mambo usingeweza yadikia achilia mbali kuwaona kwenye Magazeti wakivuana nguo!
πππππRais kishamchana vya kutosha Makonda kutokea Chatto Na hivi Sasa Msigwa anafanya yake soon mta sikia Pohamba ndio RC Dar
Hii ni hatari aisee!I
Kiitifaki naibu rais aliwazidi makamu na waziri mkuu.
Ohoooo...kunahatari hapa Dr. Mpango kuondoka na kombe hasa dakika hizi za majeruhi!Mzigo unakuja Kama msaada bila ya kutaja Shule zinazosaidiwa then msaada unaenda kwenye Shule chache wengine unaingia Mtaani kinyemela
Huna lolote unataka upate chakuongea
Chochote kile asemacho lazima utapinga
Hana ubavu hapumui Kwa bashiteTiyari akiwa chato amesema Makonda alipe Kodi.
Ohoooo...kunahatari hapa Dr. Mpango kuondoka na kombe hasa dakika hizi za majeruhi!
Ila kuna mmoja ataachia ngazi kwa kuwa hajajitoa ufahamu.Ishu hii Mshindi Mkuu wa Mkoa, hoja zake zina make sense.
Raisi kamuelewa ndio maana yuko kimya.
Hakuna atakaye ondolewa kazini.
Sent using Jamii Forums mobile app