DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Sasa wewe unataka aseme nini? Huu ukimya ni jibu tayarri!!! Wote wawili wanaosigana wote wako sahihi!!! Makonda yuko sahihi na Mpango yuko sahihi!! Wote wanasimamia maslahi ya Taifa!!! . Kwa hiyo suluhisho ni kuwa makonteina yalipiwe ushuru na kodi zote. Lakini atakayelipa kodi hizo ni serikali, Wizara ya fedha iyalipie maana ni mali ya umma hiyo. Yaani wizara ya fedha chini ya Mpango ndo ilipie haya makonteina na wote wawili watakuwa kila mmoja ni mshindi. Mpango ni mshindi maana makonteina yamelipiwa. Makonda ni mshindi pia maana hajayalipia yeye. Serikali itoe pesa kwenye mfuko wake wa kushoto halafu iziingize kwenye mfuko wake wa kulia. Ndiyo maana Rais yuko kimya!!! Jibu ni rahisi na wasipoligundua atawatoa wote!!!!!!!!!!!!
 
I
Maisha yanaenda kwa kasi sana yani!...yani Mkuu wa Mkoa wazi wazi kabisa anabishana na Waziri anayehusika na jambo lililo chini yake!...na hata baadhi ya Mawaziri kufyata mkia kwa RC!

Tunazeeka kwa kasi sana aisee!

Zamani haya mambo usingeweza yadikia achilia mbali kuwaona kwenye Magazeti wakivuana nguo!
Kiitifaki naibu rais aliwazidi makamu na waziri mkuu.
 
Mzigo unakuja Kama msaada bila ya kutaja Shule zinazosaidiwa then msaada unaenda kwenye Shule chache wengine unaingia Mtaani kinyemela
Ohoooo...kunahatari hapa Dr. Mpango kuondoka na kombe hasa dakika hizi za majeruhi!
 
Huna lolote unataka upate chakuongea
Chochote kile asemacho lazima utapinga

Toa msimamo wako jee nani anafuata sheria kati yao? Au utamtetea huyu kwa vile ana ukaribu na mzee?
kwinyara___BnEXcjIFeNE___.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom