DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Brother... tayari fanicha ziko bandarini. Walimu hawana fanicha.
Misaada mingapi ya mahindi inakuja toka Marekani inapita bila kodi wakati kuna mahindi Iringa, Katavi na Ruvuma yanaharibika?

Tukiamua kuijenga nchi tuijenge. Tukiamua kufuata sheria sawa tutakuwa sawa pia. Ila suuala je tunapiga hatua au tunarejea nyuma?
...Coming together is a beginning; keeping together is progress; working together is success...
Tukumbuke anafanya kwa manufaa ya nchi na kama mnatia shaka samani ziruhusiwe na zisimamiwe kwenye ugawaji maana walimu hawana samani jamani , ofisi zimejengwa nzuri na hazina samani tuache kukwamishana nchi ni yetu sote. Mbona kuna watu wanapata misaada ya kusamehewa kodi . Tunakuomba Raisi wetu mpendwa ingilia kati jambo hili liishe walimu wafaidi nia njema ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
 
Hazifuatwi ndo maana kuna mahakama
wewe unaona ni sahihi.huo.mzigo kulipiwa bil 1.kwani unadhani MAKONDA yeye ana hasara gani hata hizo mali zikiuzwa?
watakao umia wadogo zetu na walimu wao.
Wakiuza huo mzigo hela watakazo pata.
WATANUNULIA FENICHA NYINGINE WAPELEKE MASHULENI?
Hii ni roho mbaya.
Tatizo si msaada.tatizo ni MAKONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ile ishu ya walimu kupanda daladala bure iliishia wapi?naombeni mtujuze enyi mlioko hapo Daslamu.
 
Mkuu wenye matatizo ya msingi ni aina yako ya watu. Kwa hiyo hata lile suala la matibabu ya wachina pale bandarini ilikuwa ni siasa ya kudanganyia umma?.

Kwa hiyo hata suala la kutetea haki za kinamama waliotelekezewa watoto na lenyewe ni jambo la kisiasa?.

Hakuna wa kukulazimisha kwamba lile ninalowaza mimi ni lazima liwe ndio hilo hilo kichwani mwako.
Rudi kwenye mada mkuu!
Hapa tupo kupinga rushwa na kukwepa kodi kwa mlango wa nyuma.
Rais wetu JPJ Magufuli anapinga madhambi hayo kwa nguvu zote.
Viongozi walioko serikalini wasimwangushe.
 
Unless kwenye containers kuna other dubious business.
Ila kama ni sheria, kuna wakati Misri ilipitishwa sheria watoto wa kiume wasio Wa-misri wauwawe. Nayo ilikuwa sheria. Kama ni sheria, Mandela alifungwa gerezani kwa kama gaidi. Yet ilikuwa sheria.
Sote tunaheshimu sheria, ila kama zinatunjenga au kutubomoa hapo tuna jukumu kuulizana maswali
Acha kulialia wewe, lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unaona ni sahihi.huo.mzigo kulipiwa bil 1.kwani unadhani MAKONDA yeye ana hasara gani hata hizo mali zikiuzwa?
watakao umia wadogo zetu na walimu wao.
Wakiuza huo mzigo hela watakazo pata.
WATANUNULIA FENICHA NYINGINE WAPELEKE MASHULENI?
Hii ni roho mbaya.
Tatizo si msaada.tatizo ni MAKONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anajua tatizo ni yeye aliagiza za nini? Zinauzwa sasa Hakuna laana hapo tunanunua na Safari ya hija Israel ipo palepale kuvunjavunja hiyo laana Chezea Mafarisayo
 
Acha kulialia wewe, lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sheria bwana nzuri zamani Israeli ilikuwa sheria kuoa wake wengi sasa hivi mke mmoja. Ningekuwepo hizo nyakati ilinifaa Sana tunakoelekea hata hizi kodi hatutalipa, ingawa tutatamani itakuwa kosa kulipa kodi, kwa sasa alipe tu yoyote anayedaiwa. Hapa kazi tu.
 
Rudi kwenye mada mkuu!
Hapa tupo kupinga rushwa na kukwepa kodi kwa mlango wa nyuma.
Maoni yangu ni kwamba kumetokea kutokuelewana kabla mzigo huo haujaja bongo. RC alikuwa na muda wa kutosha wa kuongea na mamlaka kuhusiana na uingizaji wa hizo furnitures kwa ajili ya waalimu.

Inaonekana kama ni ukwepaji wa kodi kwa sababu ya uwepo wa kutoelewana. Wabongo wengi huamua kubakia ulaya na marekani kwa sababu ya baadhi ya mambo ya kipuuzi ambayo tunayaendekeza nchini mwetu.

Hakuna sekta muhimu kuliko ya ualimu. Mwalimu ndio anayemtengeneza daktari na mwanasayansi. Afrika tunajitia laana kwa kutomheshimu mwalimu.

RC anao udhaifu wake lakini yapo mema mengi tu anayoyafanya. Tatizo ni tabia ya binadamu ya kujifanya kakamilika kuliko yule aliye mbele ya macho yake.
 
Daresalam haingozwagi na wasomi Dar inaongozwa na wajanja wasomi wanashindwaga na kuhamia mikoani,Mh Yussuf Makamba na Bashite ni mifano hai iliyowahi kuongoza jiji.
 
Maoni yangu ni kwamba kumetokea kutokuelewana kabla mzigo huo haujaja bongo. RC alikuwa na muda wa kutosha wa kuongea na mamlaka kuhusiana na uingizaji wa hizo furnitures kwa ajili ya waalimu.

Inaonekana kama ni ukwepaji wa kodi kwa sababu ya uwepo wa kutoelewana. Wabongo wengi huamua kubakia ulaya na marekani kwa sababu ya baadhi ya mambo ya kipuuzi ambayo tunayaendekeza nchini mwetu.

Hakuna sekta muhimu kuliko ya ualimu. Mwalimu ndio anayemtengeneza daktari na mwanasayansi. Afrika tunajitia laana kwa kutomheshimu mwalimu.

RC anao udhaifu wake lakini yapo mema mengi tu anayoyafanya. Tatizo ni tabia ya binadamu ya kujifanya kakamilika kuliko yule aliye mbele ya macho yake.
Unajua mkuu, sheria ni msumeno!
Makonda angekuwa makini angeagiza, tena kihalali mizigo kwa ajili ya wananchi bila kutumia jina lake.
Hapo ndo shule ilihitajika, maana kupata ushauri ni muhimu.

Kuna waziri mdogo, nafikiri Venance Ngulla, miaka ya Mwalimu, aliagiza gari lake mwenyewe bila kufuata utaratibu.
Gari liliozea Bandarini na baadaye Indoor Stadium pale Uwanja wa Taifa.
Tusikwepe kodi wajameni, tumwunge mkono Raisi wetu juu ya hili.
 
Tukumbuke anafanya kwa manufaa ya nchi na kama mnatia shaka samani ziruhusiwe na zisimamiwe kwenye ugawaji maana walimu hawana samani jamani , ofisi zimejengwa nzuri na hazina samani tuache kukwamishana nchi ni yetu sote. Mbona kuna watu wanapata misaada ya kusamehewa kodi . Tunakuomba Raisi wetu mpendwa ingilia kati jambo hili liishe walimu wafaidi nia njema ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam
Sheria ndugu, sheria inasema hata km jambo limefanywa kwa nia njema ila isipofata sheria ya nchi ni kosa, lipa kodi, ukilipa kodi nchi itanufaika mara dufu, walimu wana neemeka na nchi inaneemka, au unataka kodi akalipe nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unaona ni sahihi.huo.mzigo kulipiwa bil 1.kwani unadhani MAKONDA yeye ana hasara gani hata hizo mali zikiuzwa?
watakao umia wadogo zetu na walimu wao.
Wakiuza huo mzigo hela watakazo pata.
WATANUNULIA FENICHA NYINGINE WAPELEKE MASHULENI?
Hii ni roho mbaya.
Tatizo si msaada.tatizo ni MAKONDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fata sheria mkuu, hajaonewa mtu, hata akienda mahakamani atafeli, sheria ndo inayofanya kazi, nchi inataka KODI yake na Walimu wanahtaji fanicha, usiridhishe upande mmoja, lipa kodi mzigo utoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna haja gani ya samani kwa ajili ya walimu zikaagizwa nje kwa gharama kubwa wakati mafundi wazuri wapo keko pale wangepewa hiyo hela wakatengeneza samani za maana tu!...something fish was going on out there!... Damn it!
 
Sheria iko wazi. Ameagiza kama makonda anatakiwa alipe kodi km makonda, angeagiza km shirika lisilo la kiserikali au shirika la kiserikali linalohusiana na kutoa misaada kwa jamii lisingetokea swala la kudaiana kodi. So anatakiwa awe mbunifu km alivyokuja watz wamchangie kodi, au lasivyo Diaspora na sisi tuchange ipatikane ila kutoka bila kulipwa pale nadhani itaamsha hisia nyingi kwa wanaolipa kodi bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app

Exactly!
But wait unaposema diaspora tuchange kwa chochote alichoagiza makonda whether ni kupitia shirika or so, does she seems that loyal? I’ll never ever eva eva everrrrr changa kwa anything that has makonda name in it, once mwizi tapeli mwongo na muuaji, he will always be. Rather nikampangishie nyumba omba omba aliekaa barabarani hata kama kwa uongo, kama hela inaniwasha sana.
 
Back
Top Bottom