Lunguja Sano
Member
- Jul 29, 2018
- 33
- 22
Tukumbuke anafanya kwa manufaa ya nchi na kama mnatia shaka samani ziruhusiwe na zisimamiwe kwenye ugawaji maana walimu hawana samani jamani , ofisi zimejengwa nzuri na hazina samani tuache kukwamishana nchi ni yetu sote. Mbona kuna watu wanapata misaada ya kusamehewa kodi . Tunakuomba Raisi wetu mpendwa ingilia kati jambo hili liishe walimu wafaidi nia njema ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaamBrother... tayari fanicha ziko bandarini. Walimu hawana fanicha.
Misaada mingapi ya mahindi inakuja toka Marekani inapita bila kodi wakati kuna mahindi Iringa, Katavi na Ruvuma yanaharibika?
Tukiamua kuijenga nchi tuijenge. Tukiamua kufuata sheria sawa tutakuwa sawa pia. Ila suuala je tunapiga hatua au tunarejea nyuma?
...Coming together is a beginning; keeping together is progress; working together is success...