Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

Nimezaliwa huko na kukulia huko, nipo mbali na Bongo but kupitia Mitaro ya Maji kwenye Picha nimejua ni Wazo eneo gani ajari imetokea!

Kila mwaka nilikua nashuhudia ajari wakati nikikua, kwa mwaka ajali 2 ama 3 za Maroli kuferi Breki toka kiwandani ni kawaida, ni ama Roli liwagonge Watu wanaopita pembezoni mwa Barabara, ama liwagonge Wamama Wauza Samaki pale Magengeni, ama Ligonge Magari madogo, ama likapinduke lenyewe mbele ya safari.......

Kuna ajari ya Tajiri mmoja wa kuitwa Mzee Mongi, ajari ambayo sitaisahau, ikitokea naona, kwenda pale Gari ndogo imefinywa kama Chapati, but Mzee Mengi na dereva wapo hai wakiitisha msaada, Kichwa cha Roli kikiwa juu ya gari ndogo, yule Tajiri, kafa pale nikiona, akisubiri msaada!
Ajari katika Barabara ya Wazo zimeua watu wengi, japo siku zote zimewanufaisha Mateja.

Kama Serikali inasikia suluhisho ni moja.....

Kutengeneza njia toka kiwandani kupitia Boko CCM ile njia ya kwenda Machimbo ya Kokoto, then Maroli yote ya Cement yawe yanatumia ile njia coz haina Kilima so ni salama zaidi....

Na kama Serikali haina pesa ya kujenga hiyo Barabara, impe Kibari kiwanda ajenge Mwenyewe!
 
Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea.

---
Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam

Zoezi la Uokoaji linaendelea huku Taarifa za awali zikisema Watu 3 wamepoteza Maisha

Mungu awafariji wafiwa
Mungu awapokee marehemu wetu
 
Poleni wote walioguswa...

Hiyo Mitaro pia ni Janga lingine...

Sijui kwanini hatukuendelea na utaratibu wa kuweka mitaro na kuifunika plus pavement za watembea kwa miguu (sisemi hii ndio sababu ya ajali ya leo ila mimi mtembea kwa miguu hii mitaro inanipunguzia uwezo wa kujinafasi....)
 
Nimezaliwa huko na kukulia huko, nipo mbali na Bongo but kupitia Mitaro ya Maji kwenye Picha nimejua ni Wazo eneo gani ajari imetokea!

Kila mwaka nilikua nashuhudia ajari wakati nikikua, kwa mwaka ajali 2 ama 3 za Maroli kuferi Breki toka kiwandani ni kawaida, ni ama Roli liwagonge Watu wanaopita pembezoni mwa Barabara, ama liwagonge Wamama Wauza Samaki pale Magengeni, ama Ligonge Magari madogo, ama likapinduke lenyewe mbele ya safari.......

Kuna ajari ya Tajiri mmoja wa kuitwa Mzee Mongi, ajari ambayo sitaisahau, ikitokea naona, kwenda pale Gari ndogo imefinywa kama Chapati, but Mzee Mengi na dereva wapo hai wakiitisha msaada, Kichwa cha Roli kikiwa juu ya gari ndogo, yule Tajiri, kafa pale nikiona, akisubiri msaada!
Ajari katika Barabara ya Wazo zimeua watu wengi, japo siku zote zimewanufaisha Mateja.

Kama Serikali inasikia suluhisho ni moja.....

Kutengeneza njia toka kiwandani kupitia Boko CCM ile njia ya kwenda Machimbo ya Kokoto, then Maroli yote ya Cement yawe yanatumia ile njia coz haina Kilima so ni salama zaidi....

Na kama Serikali haina pesa ya kujenga hiyo Barabara, impe Kibari kiwanda ajenge Mwenyewe!

Hoja nzuri sana
 
Nimewahi kuliongelea hili swala muda mrefu malori ya kiwandani kwanini hayatokei Boko ambapo mteremko sio mkali na hakuna traffic jam?

Kabisa au yaende Madale Goba hadi mjini na kwingineko.
 
Tegeta-Wazo Road ni nyembamba sana, serikali ilipe fidia itanue hiyo barabara ingawa nasikia walioijenga ni wazo(kiwanda) wenyewe.

Umesema kweli kabisa.

Hata kama ni sababu ya Corporate Social Responsibility (CSR) ndio wajenge kibarabara chembamba kiasi kile tena kwa miaka mingi!

Wasichukulie kama ni hisani maana tayari unaitwa wajibu Kwa jamii.

Kwani wasingejenga serikali ingeseinde a kujenga?!

Inapaswa kuleta- concern kubwa wapanue barabara ile kipande cha kutoka Tegeta kibaoni ( njiapanda ) hadi Wazo juu
 
Wakubali kuingia gharama watanue barabara ile kwa maslahi ya wengi hata kama ni compasation itabidi wafanye tu
 
Back
Top Bottom