kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 1,961
- 2,918
Nimezaliwa huko na kukulia huko, nipo mbali na Bongo but kupitia Mitaro ya Maji kwenye Picha nimejua ni Wazo eneo gani ajari imetokea!
Kila mwaka nilikua nashuhudia ajari wakati nikikua, kwa mwaka ajali 2 ama 3 za Maroli kuferi Breki toka kiwandani ni kawaida, ni ama Roli liwagonge Watu wanaopita pembezoni mwa Barabara, ama liwagonge Wamama Wauza Samaki pale Magengeni, ama Ligonge Magari madogo, ama likapinduke lenyewe mbele ya safari.......
Kuna ajari ya Tajiri mmoja wa kuitwa Mzee Mongi, ajari ambayo sitaisahau, ikitokea naona, kwenda pale Gari ndogo imefinywa kama Chapati, but Mzee Mengi na dereva wapo hai wakiitisha msaada, Kichwa cha Roli kikiwa juu ya gari ndogo, yule Tajiri, kafa pale nikiona, akisubiri msaada!
Ajari katika Barabara ya Wazo zimeua watu wengi, japo siku zote zimewanufaisha Mateja.
Kama Serikali inasikia suluhisho ni moja.....
Kutengeneza njia toka kiwandani kupitia Boko CCM ile njia ya kwenda Machimbo ya Kokoto, then Maroli yote ya Cement yawe yanatumia ile njia coz haina Kilima so ni salama zaidi....
Na kama Serikali haina pesa ya kujenga hiyo Barabara, impe Kibari kiwanda ajenge Mwenyewe!