Mkuu Kwanza elewa Upinzani wa Tz wa hovyo na viongozi wake hawaaminiki ,,toka nilijue hili sitokuja kupiga kura na Wala mwanafamilia yangu hatathubutuu. Wazazi wangu nilishawapora kadi za mpiga kura toka 2010.
Kuwa na kiongozi asiyekuwa na dira Wala msimamo wa anachokisimamia ni upumbavu
Lini yaliitwa ukaandamana?CHADEMA tunalemazwa na Mbowe. Niwe mkweli. Ilitakiwa maandamano yaitishwe na CHADEMA baada ya siku tatu kupita. Ila wapo kimya.
Waha waoga balaa wamejaa ubishi tu mi naamina ata kumi na tano ya waandamanaji hawafikiAsilia kubwa ni watu kutoka Kigoma
ACT wanatania, hawana hata mpango wa kuandamana.
Eti uandamane hadi ikulu,
ACT wafunge barabara
Huu ni utani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chama chenye bendera nyingi kuliko wanachama wake [emoji1][emoji1]
ACT kinapambana sana kuwa chama kikuu cha upinzani. Wakiendelea hivi chini ya miaka mitatu ijayo watakuwa wameshaipiku CHADEMA hasa hii ya sasa.
Maandamano yana nia nzuri sana sema mwamko wa Watanzania ndiyo zero....
View attachment 2591675
Hakuna kitu kama hicho ingekuwa Kenya sawa Kwa Sisi Wabongo bado Sana sanaVijana wapo
Wanachokiangalia ni hoja ya kuandamana na sio chama gani wapo
So tegemea vijana wenye akili ccm watakuwepo
Cdm watakuwepo
Wasio nachama watakwepo pia
Ishu ni hoja gani
Police wanatakiwa kupewa taarifa tuKibali cha Manjagu hakuna!
Kupitia thread hii ndipo utajifunza udhaifu wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
ACT wataanza kushambuliwa na wafuasi na shabiki wa vyama vingine vya upinzani kuhusu haya maandamano kuliko watakavyo shambuliwa na wafuasi wa chama tawala (CCM).
Hiyo yote ni kuwakatisha tamaa wasifanikiwe kupata umaarufu kuliko wao. Kwao bora CCM iendelee kukaa madarakani na kuvurunda vitu kuliko wenzao wawe juu yao kisiasa.
Kwa mshangao kesi kama hii hadi watu maarufu na wajuaji wakubwa wa JF utawakuta wanashangilia kukwamishana wapinzani.
Ufuasi wa vyama kwa msingi wa ukabila, udini na ukanda husababisha tatizo hili.
Kwa hili nampongeza sana Zitto kwa katika wote at least yeye na chama chake wameonekana kuwa serious kidogo hasa kutokana nareport ya CAG!
Hongera Zitto
Lakini pamoja na juhudi hizi sioni kabisa hao wezi wakichukuliwa hatua kwakuwa mchukua hatua anawaogopa sana hao wezi….kiufupi Samia anawaogopa hao mnao waita wezi
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi Tanzania kuliko hata ufisadi...Ingetakiwa woote tuandamane hayo ya kuangalia nan kaandaa maandamano ni ya baadae...Nnaamini tungeleta mshtuko mkubwa Serikalini lakin kwa kujigawa huku ndo tushapoteza kabiiiisaaaaa
Umempiga kwenye balls 😃Acha uongo, tangu lini upinzani wameongoza nchi hii. Mna hasira na upinzani walioko nje lakini CCM inayowaibia kila siku mnailamba matakao na kuisujudia. Ondoa unafiki wako hapa.
Ni Kwa sababu wanaoita wenzio wezi nao ni wezi au wanatafuta nafasi ya kwenda Kuiba 😁😁Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu🤣🤣
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
Lini yaliitwa ukaandamana?
Mfupa ukiowashinda Chadema, hao ACT watauweza kweli ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi ACT wana vijana kweli ata wa kuandamana?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Leo upo frontline?K
Niliandamana kinondoni na kufunguliwa kesi. Swali jingine.
Kwa jinsi watanzania tulivyo, hapo uko kitandani umejifunika na duvet, unaandamana Kwa simu[emoji1787][emoji1787]
Watanzania labda tutaandamana siku mafuriko yakiingia kwenye nyumba zetu, manake tutakuwa hatuna Kwa kujificha.
Shemela, mi nlijua kwenye picha utakuwemo..!!!Mpendwa muandamanaji...... Wapi picha?!