Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge


Ana B 10 alizopewa na marehemu ili kuisaliti Chadema
 
Unaandika hisia zako halafu unalaumu organs za chama, taabu kwelikweli.
 
Nategemea mapema kesho asubuhi saa tatu na dakika zake Spika Tulia atawaondoa hao wanawake bungeni, nahisi wengine hawatakwenda kesho bungeni.
 
Jambo la msingi ni kwamba wanayo nafasi ya kupeleka tena maombi yao upya.
Angalia bunge kesho, hawa malaya wa Ndugai wakiendelea kuwa wabunge najitowa JF.

Wengi hamjui vision ya Mama Samia na kwa nini amekutana na Chadema Ikulu, ukilijuwa hili hupati tabu kujuwa covid 19 shughuri yao imekwisha.
 
Kwaiyo ni kusema Halima mdee watasimamishwa ubunge? Au bado ni danadana kurefusha muda? Ajuae..
 

Mwenyekiti wa CCM leo hii akipelekwa jela mtakaa kufanya maamuzi?
 
mhuni anatafutiwa kazi na Mwenyekiti akibembelezwa aachane na uhuni....

Cdm safi sana, kumbe unaweza kuwa mhuni na Mwenyekiti akakubembeleza...

Hiyo ya kutafutiana wanajuana mwenyekiti na Mdee, haikuwa maagizo ya chama. Yeye Mbowe alifanya ili kumsaidia mwanachama wake wa muda mrefu. Sasa mambo binafsi sijui unayahusishaje na chama. Au umeishiwa na hoja nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…