Hiyo ni kweli kabisa. Taarifa za ndani ya Chadema zinasema, baada ya akina Halima Mdee na wenzake 18 anafuata Mchungaji Msigwa kufukuzwa chamani. Watabaki wanafukuzana hadi 2025, halafu baada ya uchaguzi utawasikia eti wameibiwa kura!
Leo una Bando!Katibu Mhutasi huwezi kuelewa mambo magumu kama haya
UsiogopeSio LAZIMA uanzishe uzi
Utajua hujui!Ni PS wa Katibu wa CCM Wilaya ya Chamwino
Kwaiyo ni kusema Halima mdee watasimamishwa ubunge? Au bado ni danadana kurefusha muda? Ajuae..
Halijawahi kuishaLeo una Bando!
Tulia akina mama mwenzako wamefukuzwaUtajua hujui!
CHADEMA pelekeni wabunge wa viti maalum wengine leo akiwemo Hilda NewtonLeo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
=====
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wenzake 18 kupinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA, ikikubaliana na pingamizi la CHADEMA lililopinga kufunguliwa kwa shauri hilo kinyume cha sheria.
Ni Kesi ya Madai namna 13 ya Mwaka 2022 iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga CHADEMA kuwavua uanachama kitu kinachopelekea kupoteza Ubunge wao
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
CHADEMA yaweka Mapingamizi 6 Kesi ya Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. Mahakama Kuu kuamua 22/06/2022
Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu
Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Tunasubiri kati ya Kesi mpya na nyaraka za hukumu kipi kitawahi Dodoma!Huyu ajuza ni ni zaidi ya shetani
Nawasihi CHADEMA wapeleke wabunge wengine wa viti maalumu haraka sn ikiwezekana leoMungu ibariki CHADEMA [emoji1545]
Issue ni kuwahi au ni kufuata sheria na taratibu?Tunasubiri kati ya Kesi mpya na nyaraka za hukumu kipi kitawahi Dodoma!
Lazima mchakato ufanyike tena kwa umakini mkubwa sanaNawasihi CHADEMA wapeleke wabunge wengine wa viti maalumu haraka sn ikiwezekana leo
Akina Mnyika na Kibatala jana walikuwa wanamshamgilia mama mahakamaniTulia akina mama mwenzako wamefukuzwa
Alaaa! Ndio maana kumbe? Halafu huko nadhani ndio wanamuona think tank!Ni PS wa Katibu wa CCM Wilaya ya Chamwino
Kuna wanawake CHADEMA kwa kweli wamepambana sn yule CPA Ruge, Hilda Newtown, Devotha Minja n.k wapelekwe haraka snLazima mchakato ufanyike tena kwa umakini mkubwa sana
MZIMU WA MAGUFULI UNAKUSUMBUA!!Halima Mdee anaitesa sana Chadema
Update;
Kunradhi Chadema
Eh kuumbeee[emoji23]Ni PS wa Katibu wa CCM Wilaya ya Chamwino
Ndiyo anajua computer peke yake paleAlaaa! Ndio maana kumbe? Halafu huko nadhani ndio wanamuona think tank!
Ndio utajua kabla hujafikisha mbege kilabuni jioni ya leoIssue ni kuwahi au ni kufuata sheria na taratibu?