Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Uchawi upo

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Uchawa (sio sana uchawi)
upo sana. Hujaona video zinasambazwa na machawa wakinamama wakijigalalaza?

Watoto na wazee wamelipwa kubeba bendera za CCM, ACT, Chadema. Wapumbavu wanakuja wanakwambia wanaipongeza serikali ya CCM.

Wananchi wengi wa TZ ni
walalahoi. Hawana chama, maskini, unawapa buku mbili, tano chakula na T-shirt watafanya chochote.

Viongozi wa dini karibu wote wamekuwa machawa.
 
I

Nina maswali mawili

1. Hao ni mashehe wa msikiti gani?

2. Wana Elimu ya dini inayowawezesha kuswalisha?
 
Kumbe muuza mafuta hanaga mke😆😆🙌
 
atazawadiwa Magali na mh nabii mkuu. Ila me wamekosa kahekima wanaitukana JAMIIFORUMS INAMANISHA PAMOJA NA MIMI DAH hivi nabii TITO YUKO WAPI KWELI HILI SWALI NI Kwa Wana CCM tu
 
Lipia tangazo la kumnadi huyo baba yako.
 
Masheikh fake.......
 
Hao sio mashekh, bali ni masheh. Ona tofauti hiyo
 
Kumbe hawa waungwana wanaingia JF,![emoji23] maana JF imenangwa na sisi tulioripoti pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…