Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

what i know for sure ni kwamba, atafungua ile briefcase yake ya mamilioni ya sadaka za mang'ombe, na atawapa pesa za kutosha kwa kumsifia. yeye na wao hawatofautiani kwasababu mungu wanayemwakilisha hapa duniani ni mmoja. ila ni tofauti na Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo ambaye ndiye Mungu wa kweli.

kati ya embarrassment zilizowahi kutokea duniani kwa wakristo, ni uwepo wa manabii wa uongo kama huyu anayejiita mkuu na yule muuza mafuta asiye na mke. afadhali hata yule mbwia konyagi tunajua hana kanisa ana maombezi tu na hana kitu kichwani.
 
Mwamposa hana mke?
 
Wao wanajifanya waislam ila Waislam hawapo kama wao😅😅😅
 
Sikukuu na january zinakaribia ,bora "mashehe" walivyojiongeza,wanaweza wakalamba X5.
 
Tunataka na magaidi muwashambulie kama hivi sio kuwasifia misikitini tu huku mitaani mnakuwa mara mguu pande mara mguu sawa!
 
Tatizo huku kwetu kila anae vaa, kofia na kanzu basi tayari anakuwa shekhe.

Hata kama elimu ya dini hana.

Hivi unaonaje mtu awe ameishia la saba halafu aitwe daktari, na asikilizwe katika kila atakalo lizungumza kuhusu utabibu!
Kisa amevaa koti jeupe.
Nafikiri hii imemaliza kwa wenye akili na kuzingatia
 
Sio tu kwamba hakuna mashekh wahivyo Bali hao si katika waislam tena maadam wanaitakidi hivyo unless washaadie kwa Mara nyingine kwa ikhlaswi kutoka katika vifua vyao kadhalika kuleta tawba....Allahu aghlam wabillah tawfiq
 
Penye udhia, penyeza rupia!
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

Wanamzungumziaje Mwamposa
 
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.
Kumbe wanaingia humu ila wanashindwa kujibu mashambulizi...
Huenda ni masheikh wa miigo
 
Hhahahaha...............just hahahhahah........
 
Bado kupokea tu ubatizo wa maji mengi toka kwa Nabii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake wao wameifunga hiyo, hapo lazima kitimoto wapate kabisa.
 
Aiseee.... 🤣🤣 🤣 🤣 🤣
Hizi dini zimetufanya wapumbavu sana.....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.
Shetani ana nguvu sana, ila akikuchoka utaichora sifuri
 
Back
Top Bottom