Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mnasema tu kuwa ni mapenzi. Hamjui kuwa kuna changamoto nyingi duniani. Mnawaza mapenzi tu.

Inawezekana watu wamelewa bar wakagombana tu mmoja akamsababishia mwenzake maudhi ya kihisia kisha ndio ikapelekea kutoana roho.
Exactly mkuu

Hicho kibaa wamejaa wanaapolo kibao...misifa kushindana kununua bucket za bia!

Hii iko kama family bar...kila mtu wanamzoea zoea kifala!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana!

Hicho kibaa unakijua hapo kwa Remy?

Kuna jamaa anaitwa nyoka mwanaapolo kutoka Arusha kaununua huo mtaa mzima hapo!

So pale ni full bangi, unatongozwa mdada ukikataa wanakubeba wanakuingiza kwenye gari kwa nguvu...usiombe[emoji848]
 
Eh bana we hio bar siipati au iko kichochoroni kama MiBS? Hapo hatari aisee usiende maana ni Soweto ndogo siwez kanyaga bar ya kipuuzi kama hio mimi
 
Kuna best kanitumia video sasa hivi ....hicho kibaa kiko vichochoroni lkn ni Kuna mambo hapo [emoji849][emoji849]

Mererani imejaa hapo, wahuni watupu
Ni Bar ya Machalii wa Araa/Madalali na Mission Town wa Dar ... UJINGA MWINGI MNO... Watu waliokuwa wanaitwa VIFARU,MWAMBA,MNYAMA wa enzi za Mererani,Azam,Longroom wakafulia hapo ukaa na KULAUMU KILA KITU Serikali,Upinzani,Covid,Rais aliyepo,Wabunge,Mzunguko wa hela... USIOMBE UENDE HAPO ukienda na Laki (Wakajua) ukazungusha Round 2 kwenye meza ya watu wa5 Watapigiana simu watajaa hapo wahakikishe imeisha...
 
Kugombana kwa ghafla huwasha moto,na ugomvi wa ghafla humwaga damu. Ukipuliza kaa la moto litawaka zaidi,ukilitemea mate litazimika; hayo yote mawili ni matokeo ya kinywa chako. SIRA28;11-12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…