Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Eh bana we hio bar siipati au iko kichochoroni kama MiBS? Hapo hatari aisee usiende maana ni Soweto ndogo siwez kanyaga bar ya kipuuzi kama hio mimi
Sio mbali na barabarani...ni hapo kwa Remy kituon ukishuka ukaingia huo mtaa Chocho la kwanza mkono wa kulia . . . Ndo hao wanachuga wamejazana hapo ..full bangi na misifa

Mabia maserengeti light yamejazana mezani, hata hawanywi Heineken basi waiii[emoji848]
 
Ahaa basi nshapakumbuka now😅😅😅 walitandikaga mikeka ya majani wakati wanapa launch! Kuna ndugu yangu alikuwa na frame mbele kidogo ya hio bar
 
Kwahiyo nimejifunza, mlevi ni anasifiwa tu. Nisije kumuelekeza. Boss haelekezwi[emoji23][emoji23]
Na ukitaka ulewe kutambaaa msifie boss. Ila pombe ujinga sana watu wamekunywaaaaaaa. Sasa marehem alishaclear bill kabla?[emoji23]
Hapo ndo watajua hawajui😂😂😂 naskia walikimbia baadhi baada ya njugu kuanza kurindima
 
Kwa maelezo ya mtoa post inaonyesha jamaa alikuwa na misifa ya kumiliki cha moto ,, ukijumlisha na ulevi akajiona mwamba aliyejuu kuliko yeyote kiasi kuonywa alitafsiri ni dharau na kuamua kumbatua muonyaji. Baada ya kuona kweli kaua tena hadharani alijua jela inamsubiri, moyo haukuweza kuhimili yajayo ,, akaamua kujimaliza.

Nawashauri wamiliki vya moto, ,,kujaa sifa kwasababu una bastola ni ushamba tu ambao hupelekea matukio kama hayo au kujiweka hatarini dhidi ya majambazi."

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ushamba wake tu wa kumiliki silha.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sikumwelewa yule marehemu,inakuaje mkeo anauza papuchi na alikua mkongwe pale alafu anamwonea wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…