Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Bahati mbaya kuna vijana wengi wamemiliki hizi silaha ili tu ijulikane nayeye ana cha moto.
Akisikia mwizi nje anakurupuka kwenda kufyatua hata hewani ili tu watu wajue.
Mimi ninayo nina mika minne sasa lakini hata wife hajui.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Iko karibu na wapi hii...weekend hii nitie timu?
Weekend hii usije njoo weekend ijayo kuanzia ijumaa ,Hadi jumamosi

Iko ukivuka Airport njia ya kwenda gongolambo unakunja kushoto jiapanda segerea unanyoosha mwemdo kama wa dakika 4 ukilipita daraja dakika 3 unafika mwembeni upande wa kushoto ndiyo ipo THE ANDROID
 
Hii kitu hatari sana, nilianzaga ptocess ya umiliki nikaacha, niligundua bado nina hasira za ujana naweza kuleta madhara bure
 
Thanks much...hii njia naijua sana...ila hapo sipajui!

What's sup there?
 
idadi inaongezeka uko Daslam kulikon mnajiua ivi, na kila kitu kipo Dar sa sijui mnakosa nn,na leo ilikuwa mihogo festival, mpewe nn tena?
Wanaendekeza kula ma mihogo na matokeo yake wanaamka usiku wa manane wana njaa so wanakuwa na hasira sana hatimaye kuuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…