Mbona wakristu wa Roma wanabugia bia na kitimoto?Kwanza kama kawaida nianze kwa kulaani kitendo alichokifanya Bw. Alex cha kumuua mwenzake kwa risasi na kisha kujiua.
Binafsi kama mchungazi wa mambo, nimegundua kuwa hawa watu hawakuwa wanafahamiana kabisa.
Hivyo basi, hawakuwa na ugomvi wowote, chanzo kikubwa nadhani itakuwa ni pombe. Ndio, pombe ni mbaya sana.
Mziba pancha, (Gift) hakuwa amelewa ila muuaji (Alex) shemeji yangu, mmachame, alikuwa amelewa na alianza kuwatishia wenzake kwa silaha.
Stress +Pombe, ndizo zilizopelekea Bw.Alex kuchukua maamuzi hasi kama hayo.
WITO: Achaneni na pombe, kitu chochote Mungu anachokikataza, jueni kuwa sio kizuri. Mungu ndie alietuumba sisi, anajua nini tunahitaji kutumia ili tuishi vyema.
Mpaka mwezi wa 6, mimi binafsi Nebuchadinezzer, nilikuwa mlevi na mtu wa hovyo sana, ila nashukuru nilibatizwa nikajiunga na dhehebu la wapinga pombe na nguruwe, na watunza sabato. Sasa hivi maisha yangu yamekuwa bora sana.
Nimeanza hadi kufikiria ndoa, na mwaka kesho naweza muoa Linah, binti wa kimachame mwenye roho ya ucha Mungu.
1 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Hata limoja tu. Ndo maana nikahoji kama anajua criterias za kumiliki chombo.Tena sio duka moja
utajua hujuiMmmh!!!
Rpc anasema afisa mmoja wa serikali alimkanya asitoe silaha ovyo.. mara mziba pancha amepigwa risasi sasa lipi ni lipi? Huyo afisa wa Serikali aliyetajwa na Rpc ndiye mziba pancha?
umejuaje!!Hii bar inafungwa...mpakaa uchunguzi ukamilike Charles lazima afe na njaa[emoji848]
Kulea lea wahuni kwenye biashara
ila hao watu wote hapo Bar walishindwa kumdhibiti kabla huyo fala, alivyompiga risasi tu ya paja jamaa, ilitakiwa palepale mtu arukenae kwa nyuma, Watanzania ni waoga sana sanaUkisepa anakulima ya nyuma, labda ujifanye mjinga muombe radhi
kwani ilikuaje?Nilichojifunza kwa mziba pancha, acha kuingilia mambo yasiyokuhusu hata kama hayakufurahishi.
Asingetoa onyo kwa jamaa kuonyesha silaha, angekua bado analalamika kuhusu tozo la kizalendo.
Una stress wewe. Hebu tutolee woga wako was MAISHAKwanza kama kawaida nianze kwa kulaani kitendo alichokifanya Bw. Alex cha kumuua mwenzake kwa risasi na kisha kujiua.
Binafsi kama mchungazi wa mambo, nimegundua kuwa hawa watu hawakuwa wanafahamiana kabisa...
Kaka yako Farara sana. Na wewe ukapime akiliThat is My brother.Maneno yenu Makali sana
Kaka yako Farara sana. Na wewe ukapime akiliThat is My brother.Maneno yenu Makali sana
Siku ya tukio kulikuwa na baa ngapi zzimeshehena wanyaji wa mbope why ni lemax tu.Uache kabisa pombe wakati hata maneno matakatifu yanasema kuwa Mbinguni kutakuwa na mifereji ya mvinyo bora kabisa.
Ingekua ni member wa Chadema anatembea na silaha, polisi wangechukua hatua mapema and early.Huyu bwana seems alishalalamikiwa matumizi mabaya ya silaha hadi kituo cha polisi lakini hakuchukuliwa hatua. Wito wangu ni Polisi wasifanye mzaha na hawa wamiliki wa silaha hata kidogo.
Tuwekee mstari unaosema alitengeneza pombe yenye 0% alcohol. Na utuambie pia, ukisikia kitu ni pombe (alcohol) unaelewa nini?Alio tengeneza yesu haikuchachuka ni 0% alcohol utasemaje ni pombe?. Ile nisawa na juice ya zabibu. Pombe ni 4.5% alcohol hapo nitakuelewa.
Ule mstari unasema gongo lako na fimbo yako Bwana vyanifariji kumbe pale walimaanisha pombe ya gongoUache kabisa pombe wakati hata maneno matakatifu yanasema kuwa Mbinguni kutakuwa na mifereji ya mvinyo bora kabisa.