Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Kuna best kanitumia video sasa hivi ....hicho kibaa kiko vichochoroni lkn ni Kuna mambo hapo [emoji849][emoji849]

Mererani imejaa hapo, wahuni watupu
Unavosema mererani ..moja Kwa moja unataka hii habari watu waihusishe na kaskazini sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ..kama ya neema
 
NIMETOKA NAE MSIBAN MAJUZI TU HARA HAFANANII JAMAN ALEX DAH
MAISHA HAYA
RIP ALIEUWAW
RIHELL ALEX
 
kuna maamuzi mengine magumu sana.

sababu itakuwa
1.pesa

au

2.mapenzi
Hakunahatamoja n jamaa alikuwaa anapiga kelelee mshikaji akawwomba watulie akawrka bastola jamaa akawa anawaonya msiwrke bastola hadharani ila nahisiiiii na msongowamawazo pia
+Tukio la krkooo
 

Alifyatua motooo waleviii akakimbiiiaaa hatareeeeeekakakaa
 
Kwa wanaomjua huyo jamaa, wanasema ni mtu mbabe mbabe tangu akiwa mdogo...

Na huenda hata hiyo silaha aliomba kuimiliki ili kuendeleza tu tabia yake ya utemi...
Tukio likishatokea watu wataongea mengi sana na ya kuzusha pia. Jamaa hakuwa mbabe kabisa alikuwa mpole na muoga wa vurugu. Nilisoma nae Old Moshi 97-2000. Alikuwa mchakarikaji wa maisha na mpenda gambe. Pengine ukubwani alikuwa na stress za maisha ambazo zilimbadilisha tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…