Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Acha fear mongering na maneno ya ushauri maana sijakuomba

Unabaki kutoa ramli yatakayotokea baadae ambayo hayajatokea,wewe umepata wapi hayo maono mpaka unielezee hayo mabaya?..
Nyinyi ndiyo mkinyanganywa mademu bar mnakimbilia bastola,mnaona silahaa ndiyo solution ya kila kitu! Kwa taarifa yako nakufundisha,hata siku ukija kumiliki silahaa unatakiwa uwe mpole na muungwana kupita hata mtu asiyekua na silahaa!

Na silahaa ki halali inatakiwa itumuke kwenye hatari ya ukweli na si ya ugomvi kwenye ma bar,mtamalizana sana kisa ulimbukeni wenu wa kumiliki silahaa!!
 

Huyo marehemu alikua mgonjwa wa akili ambaye alikua hajatambulika bado. A sane person can’t do that eti anadolishia bastola [emoji38] na kuifanyia birthday , it’s only an insane person who will do that. Yani baada ya kumiliki bastola alidata kabisa akaona duniani huku kamaliza kila kitu. Then See what he did [emoji35]
 

[emoji736][emoji736]
 
Hivi ukiwa na silahaa ndiyo lazima uheshimiwe!? Mbona kuna watu wengi tu hawana silahaa na wanaheshimiwa sana kwenye Jamii!? Hizi American movies zinawaharibu sana kuhusu matumizi ya silahaa!! Nakushauri tena Kama wwe kweli unapenda kua na mguu wa kuku Chukua kitu kinaitwa Beretta japokua bei yake iko juu kidogo lakini ni kitu kitamu sana,uta enjoy!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Wewe ndo hufai kabisa kumiliki silaha bora hata marehemu inawezekana alikuwa mstaarabu kuliko wewe.
 
Alex alikua mpumbavu tu na limbukeni wa silahaa ndiyo maana imemtoa uhai mapema sana!!
 
Jamani mi urefu wangu ni 6'6 siwezi kua dick size eti medium

Alex alikua mfupi kinoma na kipindi kile primary alikua mfupi kinoma vitoto vinaoga mtoni kipindi cha baridi vidudu vinapotea mamaeeee
Sema inaonekana mliosoma na Alex wote ma nigger na hapo hamjakulia Upanga hamzijui vizuri story za kina Notorious B.I.G mnazijua tu za nyokaaa wa chuga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana wwe hujui kuwa kutoa tu silahaa kwenye public ni kosa kisheria hata Kama unamiliki ki halali!? Sasa kila Sasa ukiwa unajisikia kutoa bastola unatoa tu!? Silahaa inatakiwa itoke kwenye hatari na siyo kuitoa kwa show tu,kuna watu wengine wabaya wakijuwa una silahaa tu lazima wakuwinde hadi wakunyanganye hiyo silahaa yako wakapige nayo kazi za maana siyo kazi zenu za kutisha Walevi bar na bastola zenu!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna aiku nilikuwa magomeni naagalia draft.mana napenda kuangalia mabingwa wakicheza.pale kulikuwa na jamaa mmoja kalewa kisawasawa.ana redio mkononi anapiga mziki wa wasanii wa bongo kwa sauti kubwaaa.
Hakuna anaemwambia kitu.
Jamaa akaona hawa jamaa siwaudhi ngoja nianze mitusi.akapiga mitusi hatari.eti yeye alikuwa bodi gard.mara oo mm nishakuwa baunsa
Baada ya jana kupigwa risasi ndugu Mushi nikavuta picha na yule jamaa wa magomeni pale alikuwa anataka kumpiga mtu baatola maana sio kelele Ile na mitusi.hivyo ni bora hawa jamaa wakilewa hata wakitukana tuwaache tu .mwisho watanyamaza.maana ukimkataza anaweza kupasua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…