Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Wwe unaonekana hata Majirani zako unawapa shida sana,na umarekani wako wa kuecti! Ukiishi uswahilini kwetu hizo mbwembe hutakua nazo hata Kama unamiliki Beretta!!
 
Asante mkuu. Lakini anabaki kuwa mnyaki og
 
Aisee
 
Mkuu kwa hizi hali,,
Inabd tujipe tyme kuruhusu hii kitu imilikiwe mtaani na mtu wa aina yeyote kwa mtazamo wangu mimi hata miaka 50 mbele uko,
Watu wanashida na mattzo mengi sana kuwaruhusu kumiliki bastola,,
Tunavyorogana na kuuana tu bila ata ssbu ingekuaje watu wangekua wanamiliki gun mitaani,,
Inafkirisha sana.
 
Kuna watu wanasema marehemu angedhibitiwa, unawezaje kumdhibiti mtu anayekununulia pombe? Boss siku zote yupo right nyie kunyweni, kuleni na kuchekacheka kila anachoongea boss!
Ataly mkuu anaonekana alikua yupo sawa mfkoni,,
Kuna maeneo nimepita leo wat wanasema jamaa alikua na bill ya karibu laki 7,,na wat walikua wanaendelea kunywa kwa hisani
 
Alex fala ka wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…