Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Haha [emoji38], umenikumbusha mbali, tulikuwa tunashobokea vitu vya kijinga vya wamarekani...yani mwana akija kijiweni na gazeti la the source au word up anaonekana kama mfalme
mwaka gani hiyo?
 
Chuga mambo ya kula tungi huku mikwaju ikiwa imesambaa juu ya Meza kama smartphone ni kawaida sana.. Ila matukio ya kufumuana ubongo sio mengi ki vile..

Chuga ndio Kuna show off za hovyo sana za silaha ila madhara yake ni machache.
chuga kuna mabilionea wengi...nasikia hata kuna msanii mmoja wa arusha anamiliki
 
mzee ushatumia ak47???
 
Sina interest ya kumfahamu alikuwaje, kitendo alichofanya ni dhahiri alikuwa bado mshamba tu. PERIOD
 
Watu wote waliohojiwa kuna kitu walikuwa wanaficha kiasi story zao zikawa haziungi,nilijiambia huyu jamaa hakuwa chizi japo simjui
 
walevi wasipewe bastola
 
mlikuwa mmelewa wote?
No mi nilikua kazini so labda tubia tuwili nimekunywa jioni,ye sijui km alikua kalewa maana simjui nimemkuta tu pale na hata sikujua km yule changudoa bibi yake mpaka alipoanzisha ugomvi,na bibi yake alikua anapiga makelele mda wote "muache kaka wa watu,simjui mimi,jamaa kakomaa tu.
Tulimbezeana kavukavu badae ndio kapasua chupa kanikata tumboni
 
mzee inaonekana una mafunzo ya mapigano
 
Itoshe kusema Alex dominated Moshi's hiphop scene enzi hizo kwa mujibu wa maelezo yako. Sikuwa Moshi na sijaishi Moshi, so sijui what was life like huko na what it meant ku own ama ku access vyote ulivovitaja. Ila kumbuka other parts of the country tena mawilayani in the remote areas watu wali access hivo usemavyo tena before 94 enzi za Yo mtv raps na walichana nyimbo za mbele kama kawaida wali cheza basketball na kufatilia nba nk na hawachukuliwi katika exalted status bali ilikuwa ndo kitu vijana wanafanya mda huo.
 
Mkuu kiukweli nimeshukuru umenipa perspective nzuri ya personality yake. Na so far kwa maelezo yako na mengine niliyosoma naona alipenda kufurahia maisha yake kwa mujibu wa kila stage ya umri aliokuwa. Na wala i never meant to take away credits zake..uwasilishaji maneno wangu haukuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…