Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

Mambo mengine huhitaji kuyafanya ukiwa muungwana. Jibu lako lingeweza kuku-cost uhai wako. Ni watu wengi hufa kwa mambo madogo kama haya. Japokuwa huyo jamaa anaonekana ni fala fulani lakini njia nzuri ya ku deal na watu kama hao ni kujitofautisha nao. Kumbuka ule msemo wa dont urgue with a fool..... they will drag down to their level, then beat you with experience. Ungemwambia tu hapana ndugu yangu mimi nimekuja kulipa bill yangu...
 
Naona mpaka sahv hakuna mtu aliyesema chanzo cha hao kutunguana ni nini!
Naona wadau humu wana ngangania itakuwa mambo ya madem

Ova
Chanzo mpaka sasa ni ulevi wa kicenge! Jamaa inaonekana alibutua hela mahali ama aidha alikuwa na stress maana inadaiwa toka jana alikuwa anatembeza gambe Elements, leo kaamkia Sinza toka asubuhi watu wanakula nae maji!

Sema jamaa akawa anatoa toa chuma kile anawadolishia wenzie.Wengine wakawa wanamsifia kuwa mashine kali huku wanamtuliza tuliza akawa anairudisha mfukoni ila mara ingine dogo huyo ambaye ni marehemu alikuwa akimwambia kuwa airudishe bana anatishia watu kufanya hivyo jamaa akaona dogo ameleta dharau 😛 akamtia ya paja akamuongeza ya tumbo na kumalizia ya kichwa!

Baada ya kuona ile movie midamu imezagaa akaamua ajiondoe na yeye kwa kujichapa ya kooni!
 
Dah...nmesoma nimecheka
Lakini Pole yao wote kwa kupoteza
Uhai

Ova
 

Msije kuwa mliua tu
 
Kuna best kanitumia video sasa hivi ....hicho kibaa kiko vichochoroni lkn ni Kuna mambo hapo [emoji849][emoji849]

Mererani imejaa hapo, wahuni watupu
 
Dah...nmesoma nimecheka
Lakini Pole yao wote kwa kupoteza
Uhai

Ova
Umemaliza kila kitu. Watu hawajui kucheza na akili za watu. Siyo mlevi tu hata mjinga. Unamsoma ukiona vipi vipi unamfagilia.
Yani waliomsifia walipigwa bia nyingi sana toka asubuhi wanamenya tu! Ila huyo jamaa aliejifanya baba ushauri! Mlevi hashauriki we kuwa mpambe tu tena nyenyekea kabisa 😅 mnaenda sawa
 
Alex Koroso, mchagga, wa miaka 37!
Du...h!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…