Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Watanzania wengi hamjielewi, hili ni jukumu la Polisi kumpata Mo na kuwakamata watekaji.

Kazi ya Tiss ni kutowa information kabla ya tukio kutokea, Tiss hawana power of arrest

By the way Makonda ndio mwenye uwezo wa kumpata Mo alipo, narudia Makonda akamatwe mara moja kama kweli jeshi la Polisi linajitambuwa.
 
Hakika tuombe sana Mungu hawa washenzi wasuje haribu taswira ya nchi jamani
 
Habari nzito sana hii
Mo ni mkubwa sana
Ila vipi hakuwa na ulinzi?

Tanzania sio salama nahis
Epushia mbali asishurike
 
Kuna maombi Mungu huyapokea kwa shingo upande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…