Hakusema kapatikana...amesema yy kama kiongozi mwenye dhamana ya kuongoza hili jiji atahakikisha Mo anapatikana na waliomteka wanafikishwa mahakamani!...Kuna clip mbili ...
Moja kasema kapatikana
Nyingine kakanusha
Bashite banah[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna clip mbili ...
Moja kasema kapatikana
Nyingine kakanusha
But at least wao wanajua kitamboo kuwa wanakuja kukuteka, umeshaliwa radar siku nyingi halafu wewe hujui sasa...mbaya sana hufanyi chochoteHivi hujui nao wanakua wamepaniki presha nk ..kila mtu anakua na tension mtekaji na mtekwaji[emoji13] [emoji13]
Mkuu mambo mengine kausha, utakamatwa kwa sheria ya takwimu utaambiwa idadi ya magari uliyotaja sio sahihi sasa sijui umetaja mengi au machache
Acha ubaguzi, lisu, saanane, romaMbali na athari za tishio la uhai la MO lakini issue ya usalama wa wawekezaji tuseme ukweli imetiwa dowa sana kama MO ambae ni mtanzania anatekwa na hao wawekezaji wa mataifa mengine hapa nchini usalama wao ni mdogo sana.huku ni kuhujumu uchumi wa nchi kwa namna nyingine.
Ahaah we jamaa ... AhahahaUwoga tu ila kama amekaa kizembe unauwezo ukawajeuza wao kuwa mateka....mzee baba yani anajikunja vizuri unampa teke moja chalii unainua gun unapambana na mwenye gun
Watanzania hatuko makini kwenye vitu vingi sana. Nashangaa mpaka waandishi wa habari walifikia conclusion kama yako! Mimi nimeisikiliza mara moja na inaonyesha kabisa HAKUSEMA amepatikana.Ila kama nimeona ka video kanasambaa mtu alisema MoO kapatikana halafu tena anakana
MO kapewa kikombe cha kahawa sahivi na watekaji ameambiwa relax....Nimekuja kupaza sauti maana wasiojulikana walienda likizo sasa wamerudi maana haya matukio yanatuondolea hata RAIA wa kawaida Amani hofu inatanda. Mi namuombea Mo kweli kutekwa kunatisha mno
Nashukuru babaYes, mwanangu alianza daraza la saba na miaka 5 na miezi michache sana. Alimaliza darasa la Saba na miaka 12 kasoro. Form One aliingia na miaka 12, miaka 13 form two na three kidogo, miaka 13 form tree na form four kidogo, akamaliza na miaka 14. Form five miaka 14 na 15 ikamkutia hapo, akamaliza form Six na miaka 16 kasoro. Inategemea na jinsi ulivyomwahisha mtoto shule na jinsi Mungu alivyomjalia mtoto. Kwa misingi hii mwanangu huyu alinza kupenda kuandika akiwa mdogo mno alipoona wenzake wanaenda na kutoka shule wakiwa wanafanya home work naye anakaa mezani anaanza kuandika yake, mwishowe akawa anachukua kitabu anaigiliza moja nyingi sana, number 4, 6 na 9. Nikaona bora awahi tu huko day care. Kule akafanye vizuri na pre unit alisoma kidogo sana shule yake wakanishauri aanze darasa la kwanza na ni mvulana. Nilipinga sana ila mwalimu alisema akiendelea kusoma pre unit ataone kila kitu ni rahisi na haikuwa sababu na ataona kama ni marudio yaani kwa kifupi angekinai. Kweli nikakubali akaanza darasa la kwanza kishingo upande. Sijutii kwa kuwa aliendelea kufanya vizuri na yuko mbali mno kiuwezo kitaaluma kuliko hata ndugu zake nilioanzisha wakiwa na miaka 6 na 7 kasoro.
Tanzania haiwezi badilika sisi ni wabinafsi akili za kijamaa ni sumuUsiishie kuwaza lete mabadiliko
Bora wamfanye hivo abaki salamaMO kapewa kikombe cha kahawa sahivi na watekaji ameambiwa relax....
Hapana anaweza jitupa ziwa viktoria ... Akasingizia chademaYule mbunge wa ukerewe ana bonge la gundu! Kujiuzulu kwake kumefunikwa na wasojulikana kudadadeki!
Asije nae akajiteka ili kutafuta kiki mpya!
Usiombe ukalishwe katiMmmmh[emoji15] [emoji15] ...unanyakuliwa kama mwewe wewe