Mimi nilimskia kasema kapatikana na wahusika wamekamatwa kuna clip mbili au hyo clip ilieditiwaHakusema kapatikana...amesema yy kama kiongozi mwenye dhamana ya kuongoza hili jiji atahakikisha Mo anapatikana na waliomteka wanafikishwa mahakamani!...
Hebu ngoja nilete hicho kipande
Sikiliza tu. Na uwe muungwana kukiri makosa yako.Ngoja niisikilize tena nitarudi kwako
Kweli mkuu nilielewa vibaya kumbe anasema watahakikisha MO anapatikana na wahalifu kutiwa mikononi mwao... Basi ni wengi tulikurupuka kusikilizaSikiliza tu. Na uwe muungwana kukiri makosa yako.
Hakuna silaha naiogipa kama silaha za jadi mapanga aiseeehhh kifo chake ni cha umbwa ,vibaka ni wa kuogopwa kuliko hawa koz hawa watekaji wanakuja na misaion moja kukubeka ukiwa mzima ukienda uko mkishandwana hapo ndiyo msala ...ila vibaka aiseehHao unaweza kuwapa simu na pochi yako wakaondoka sasa hawa ambao wanakuchukua ukiwa hujiui kipi kinafata baada ya kukuchukua. Ni hatari Mungu atuepushe pia amuepushe na kila baya aweze kuacahiwa akiwa salama
hivi hapa me nmesikia vibaya au sijaelewa? si imetamkwa "amepatikana" au masikio yangu mabovuNgoja niisikilize tena nitarudi kwako
Kuna twitter ya H MdeeSijakuelewa pal!
Ni propaganda ambazo hazina maana kama atakua hana ushahidi wa kutosha ..maana hata albino akivaa maski ukitizama na kumtofautisha kwa rangi ya ngozi tu unaweza kuishia kusema ni wazungu, pia watekaji wanaweza wakavaa fake skin kuwapoteza maboya polisi na mashahidi
Chunga maandishi yako!!! Kwa mfanyabiashara zakaria wasiojulikana walijulikana kuwa ni maafisa wa .....( ukikua utaacha upuuzi) mchana mwema kwakoWew umejuaje km waliomtek ni serikal had useme wamfungulie mashtaka?watanzania badiliken huyo mo ni mfanyabiashar mkubwa ana maadui wengine pengine ni wenzie hao
AmenFirst they came for the socialists, and I did not speak out—
Because I was not a socialist.
Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—
Because I was not a trade unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
Duh...hebu tafuta avatar nyingine basi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi hapa me nmesikia vibaya au sijaelewa? si imetamkwa "amepatikana" au masikio yangu mabovu